Jamani vipi wale wa module E ?
Jamani vipi wale wa module E ?
Umeina enh. Combuka ACCA wanacommand the same level na NBAA, kwa nini wanafunzi wa NBAA watumie study guide za body ingine? kwa nini mnashindwa kutengeneza study guides zenu wenyewe kama na nyie hamcopy na kupaste? on top of that, executorship ni somo la kisheria zaidi, sasa kama the only source ni ya kutoka Uingereza hauni kama huo ni muendelezo wa kukopy na kupest kulikotapakaa kwenye kila nyanja ya maisha yetu, sintoshangaa ukiniambia kwamba hata taratibu na sheria za mirathi nchini zimekopiwa kutoka uingereza.
Je bado, umebakiwa na uhalali wa kuwasimanga wengine?
Out of point, haujajibu swali uliloulizwa, achilia mbali kwamba kwenye post yangu sijatumia hata mara moja neno seminar, ila inaonekana umekalili kwamba professional development kwenye uhasibu inaishia kwenye ku accumulate CPE hours kwa kuattend seminars, naomba ujielekeze kwenye hoja yangu tafadhali.
Every accountant knows about the seminars conducted by or recomended by the board. Centres are approved as well, so kinachoendelea ni kwamba Wanafunzi hawahudhulii seminars. Pia NBAA inashauri kijana kusoma for 9months kabla ya kufanya pepa, leo hii wanasoma 3months na ndo maana wanaishia kukariri maswali. Wakusaidieje kijana?[/QUOTE]
Denying for the sake of the same won't do any good now may be a note of advise to candidates we might go on like this for the next 5 hours without any constructive mechanisms to candidates especially graduates who i suppose are in for the tier come Nov 2012.As a pro.accountant what would you appeal to candidates?
On an another note, haven't you thought of setting up your tuition centre so that you could groom the young ones or instructing/teaching minds has never been your way of life?
I for one can tell most pro.accountants are selfish in disseminating the know how in their field especially to junior accountants.
Wadau,
Najiandaa kujiunga Na chuo kimojawapo hapa Bongo kwa ajili ya November, ni chuo gani kiko reliable hapa bongo?
Watu wamezoea sana kwa Msasira, lakini naona kama nae anafundishia mazoea tu!!
Naomba kujua review class makini kwa arusha wakuu
NBAA mbereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee e watu tunatafuta module F nyie chongeni tu
Mwakani syllubus inabadilika tena! nyie endeleeni kuuza sura tu!
Vijana someni mtaipata tu..punguzeni longolongo na kutishana..na ukiipata unamshukuru Mungu na kuiona ya kawaida 2.
Baba mtu acha kubisha kama mtu ambaye siyo muelewa mimi nadhani NBAA wana matatizo makubwa katika mfumo wao mzima wa mitihani na hata usahihishaji.Mbona watu wa fani za Udaktari, Uhandisi, Sheria sioni wakilalamika kama walivyo watu wa accounts.Pia mfumo wa kutunga mitihani ni kama sekondari yaani anayetunga mtihani humfahamu lakini mbona vijana wanapata hata Div. 1 ya 3 points.Lakini ukiona performance report ya NBAA inasikitisha hata hao waliopata hiyo CPA ni kama wamebahatisha na ndio maana almost 99% walipata pass yaani C.Kama huamini zaidi fanya utafiti utaamini ninachokuambia angalia kuanzia sylabus zao na jinsi wanavyotunga mitihani na hata usahihishaji wao utakubali nini ninachokuambia.
Wanafunzi 1,800 ‘washikwa miguu’ NBAA Send to a friend
Thursday, 05 July 2012 20:22 0digg
Hadija Jumanne
WATAHINIWA 1,845 kati ya watahiniwa 3,857 waliofanya mitihani ya Uhasibi na Ukaguzi wa Hesabu nchini(NBAA) Mei mwaka huu, watarudia mtihani huo baada ya kufanya vibaya katika mtihani huo.Watahiniwa 797 sawa na asilimia 31 ndio waliofaulu mitihani hiyo huku watahiniwa 1,845 sawa na asilimia 47 wanatarajia kurudia mitihani hiyo baada ya kufeli.
Akitoa taarifa hiyo juzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo, Pius Maneno alisema watahiniwa 797 sawa na asilimia 31 ndio waliofaulu katika mitihani ya Uhasibu na Ukaguzi wa mahesabu kwa mwaka huu.
“Watahiniwa 797 sawa na asilimia 31 wamefaulu mtihani wa uhasibu na ukaguzi wa hesabu huku watahiniwa 1,215 watarudia mtihani huo na wengine 1,845 sawa na asilimia 47 hawakufanya mtihani, ”alisema.
Maneno alisema matokeo ya mitihani hiyo yalitangazwa baada ya kukaa kikao cha 155 cha wakurugenzi wa bodi hiyo.
Pia watahiniwa 259 wamefaulu mitihani ya shahada ya juu ya Uhasibu nchini yaani CPA na idadi hiyo inafanya wahitimu waliofaulu mitihani ya CPA kufikia 4,135 tangu mitihani hiyo ianzishwe mwaka 1975.
Maneno alisema katika ngazi ya uandishi na utunzaji wa hesabu( ATEC 11) watahiniwa 35 kati ya 127 walifaulu mtihani huo huku watahiniwa 57 wakitarajia kurudia mtihani huo.
Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa katika ngazi ya awali ya mitihani ya uandishi na utunzaji wa hesabu (ATEC 1), watahiniwa 37 kati ya 110 walifauli mitihani hiyo sawa na asilimia 33.
Vile vile katika ngazi ya Module E watahiniwa 319 kati ya 2161 walifaulu mtihani huo huku katika ngazi ya mwisho watahiniwa 258 kati ya 1026 sawa na asilimia 25 ndio wamefaulu mtihani huo.
Sanjari na matokeo hayo pia bodi hiyo ipo katika mchakato wa kubadilisha mitalaa ya masomo ambapo mitalaa mipya itaanza Novemba mwakani na hatua hiyo inalenga kuboresha mfumo wa masomo.
Vile vile bodi hiyo imepanga Novemba 6 hadi 9, mwaka huu watahiniwa wote waliofanya vibaya katika mitihani yao kurudia na matokeo yatawekwa katika tovuti ya bodi .
CHANZO: http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-...kwa-miguu-nbaa
MIMI SIMO! MIMI SIMO! IKO SIKU NA WEWE UTAKUWEMO!
(I'M NOT CONCERNED! I'M NOT CONCERNED! ONE DAY YOU WILL BE CONCERNED!)
Ok, kama wamjua personally waweza kutoa mobile namba zake watu wamuendee hewani kujua mambo mbalimbali,
kumfungia safari mpaka mnazi mmoja na foleni hizi za dar yaweza kua worthless.
meanwhile mnazi mmoja kubwa kaka, kwa atakaetaka kwenda pale, labda pia kumsaidia sir. burn na wengineo ni jengo gani?
Heri ufe ukiwa umesimama, kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti!!
Follow Us Here