kuna mpango wa kuanzisha maandamano makubwa kwa vijana wasomi wasio na ajira.wewe hili unalionaje?
kuna mpango wa kuanzisha maandamano makubwa kwa vijana wasomi wasio na ajira.wewe hili unalionaje?
Mie naona ni ujinga mkubwa...kwa nini msianzishe mchakato wa kutafuta njia za kujiajiri?Je mkishafanya hayo maandamano ajira zitapatikana???
The POWER of LOVE !!!!
Its true that we don't know what we have got until we lose it and we don't know what we have been missing until it arrive.
Napitasha mimi! Kwa 100%
kwani hao wanauza nyanya wanafanyaje?au unaona noma?......kweli nakwambia....wazo la maandamano litakuongezea frastrurations...labda kama ulikuwa unatutania......kwa kuanzia anza kufanya research kwa wafanyabiashara kama watano wa biashara unazipenda...then in the process utapata ideas nzuri na pia ugumu.jishughulishe..
The POWER of LOVE !!!!
Its true that we don't know what we have got until we lose it and we don't know what we have been missing until it arrive.
wanaharaki naomba mlishughulikie ilo swala as soon as posible vijana wapo wengi sana hata ukisema uanzishe jeshi la jobless linaweza kuzidi JW.
uo utakua uchizi
acheni zenu nyie.hii nchi yetu wote,kila cku tunaskia mara madktali au waalimu wanafanya mgomo au maandamano.sasa ni lazima na sisi tufanye hivyo kuonesha hisia zetu kali juu ya hili suala.
hii itakuwa nzuri maana ujumbe utafika mia mia
Nimejitoa Mhanga kama ulimboka. Tulianzishe
Mimi nashangaa sana siasa za bongo nilitegemea zile posho walizokuwa wabunge wa chadema wanasema hawazitaki hawa chadema kama kweli wana nia ya kusaidia wananchi kwa vitendo zingetumika kuanzisha vikundi vya ujasiriamali ambavyo vingewakwamua wananchi kiuchumi badala yake wamejifanya hawazitaki huku wanazitia kibindoni kimya kimya!
Ni mtaji ambao kwa kuanzia ni rahisi kidogo kuupata kwa mtu mwenye nia labda alietoa wazo atuambie kuuza nyanya akiwa na maana kuzitoa Iringa kwa fuso kuleta Dar au kuuza mafungu ya nyanya uraiani kwa kuzitoa soko kuu? Ila kwa hali ilivyo inabidi walio ofisini na graduate kama walivyojiita jobless wawe wanafikiria kuwa na wazo la kujiajiri kwani kunalipa si unajua tena ukiajiriwa mambo ya PAYE yanatia hasira mfano mzuri mtu akabahatisha mshahara wa 3million anaweza changia PAYE si chini la laki 7 kwa mwaka karibu 8 million kodi wakati mfanya biashara mwenye mtaji wa 40 milion hata million moja kwa mwaka kodi haifiki
The POWER of LOVE !!!!
Its true that we don't know what we have got until we lose it and we don't know what we have been missing until it arrive.
Follow Us Here