Kazi nyingi za Cabin Crew kwa watanzania.
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: CABIN CREW (40 POSTS) at Precision Air in Dar,Tanzania
Asanteni
Kazi nyingi za Cabin Crew kwa watanzania.
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: CABIN CREW (40 POSTS) at Precision Air in Dar,Tanzania
Asanteni
Precision Air Nyambafu zao. Wanatangaza post huku kuna watu wao wameshawandaa
Vigezo na masharti kuzingatiwa..... uwe mrembo tena mrefu, HB, lafudhi tamu, kidhungu ni default...![]()
Don't curse the darkness, light the candle.
Thank you for your information
'"PROBLEMS CAN BE SOLVED AT THE SAME LEVEL OF AWARENESS THAT CREATED THEM'"
kuwa HB ni kigezo cha kupata hiyo kazi?
Kwani ni ya uhudumu wa Casino au?
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Dah hawa cabin bana, mi kuswim siwez afu nna 24 wajamen
Hakuna kazi ninayoichukia kama hiyo,Shida kubwa hipo wakati wa kuruka ni balaaa..wanilipe mshahara wa namna gani hata sikubali..Ndege kubwa tu zinanipa tabu,sembuse hizi yebo yepo..
Anyway all applicants i wish good luck...
shimboni shafo
kazi za kafara
Msiumize kichwa watu wamesha andaliwa kwa kazi hizo.Msisumbuke.
Sawa tutajaribu tuone itakuaje, asante sana kwa taarifa hapa jamvin!
jamani ombeni kazi hizo msikatishwe tamaa wa2
Naomba namba za precision air plz!
Follow Us Here