Habari wanajamii forum, am new here na mara nyngi huwa napitia yanayojadiliwa umu... Am looking for temporary job in dar es salaam from july to october during my likizo. Am university student taking bachelor of commerce in accounting.

Have look, kuna thread nimeziona leo wanahitaji watu wenye masomo kama yako, so take ur time kuzicheck vizuri. Na upo mwaka wa ngapi??First year, Second or third ni better kuwa more specific ili iwe more simple kusaidiwa.
Nko 2nd year now, let me look them.. Thanx
yap ipo kwa koz yangu, ila nimeona nifanye tempo instead of field
Big up!Wazo zuri sana ndugu.
Follow Us Here