Habari wakuu
Naomba msaada wenu, nahitaji kujua mshahara wa serikali TGF kwa mwaka 2009/2010 ulikuwa sawa na shilingi ngapi pia na wa 2010/2011 nao TGF ilikuwa shilingi ngapi?

Una maanisha TGS F au? TGS F ni kati ya 800,000 na 1,000,000
“If you can not get what you love, then love what you have”
Follow Us Here