jeshi la polisi latangaza nafasi za mafunzo kwa undergraduate wanaomaliza mwaka huu anayejisikia anatakiwa ku download fom na kutuma
jeshi la polisi latangaza nafasi za mafunzo kwa undergraduate wanaomaliza mwaka huu anayejisikia anatakiwa ku download fom na kutuma
Sasa taratigu zikoje naomba utaraitbu ikiwezekana nielekeze
bei gani wanaanza na mshahara napend kujua
tupe hyo web sasa..mbona taarifa nusunusu!!?
mpaka hapo umeshapoteza sifa. Hii ni kazi ya wito na kama hauna wito unaweza kuleta madhara makubwa sana kwa jamii na taifa kiujumla.. kama salary ndio kigezo basi kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe kushirikiana na wahalifu ili kujipatipatia fedha zaidi. Jeshi likiundwa na wenye wito malalamiko yatapungua sana
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
tunapata wapi hizo form?
"Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)
Mchango wako kwenye mshahara ni mzuri ila huo ujumbe wa vidole viwili fikiria zaidi usijikite kwenye manati kwanza vijana wengi siku hizi hawana habari nayo ndo maana wanaimba peoples power kila kukicha tafuta maana ya vidole viwili viwili iliyokaa ki .com zaidi
ACAHENI MBWEMBWE TOENI SASA TARATIBU ZA UPATIKANAJI WA FOMU. i mean web or blog or wapi sasa mbona siwaelewi nyinyi
Mbisere ebu tupe data tuwapeleke kaka zetu
Mi nilipita kweny web ya polisi jana,kuna kitu sijakielewa!usahl teyari umeshafanywa au bado alafu wataopita usahl wanasepata lin?
una download form then unajaza unatuma makao.
Ebu ingia kwnye web ya polisi alafu unambie nini kinaendelea ?
Police Graduate Sel Form form hizo zinapatikana huko
Asanteni kwa taarifa wakuu Mungu awabariki sana.
police.go.tz then unaenda kwenye Category imeandkwa career...unabofya pale then unabofya tene sumwhere wameandika police Graduate sel form then unadownload form unaijaza then unaituma manually makao makuu via posta.
Angalizo: wameandka kwenye hizo form kwamba hizo ajira ni kwa ajili ya graduates wa mwaka huu tu 2011/12 (ambao wengi kama co wote bado wako vyuoni wanaanza paper za mwisho UE)
![]()
Follow Us Here