Waungwana Kuna mwenye news kuhusu hii nafasi kama wameishaitwa?
Waungwana Kuna mwenye news kuhusu hii nafasi kama wameishaitwa?
He who learns but does not think, is lost! He who thinks but does not learn is in great danger.
nipo kwa ofisi sasa
Washaitwa na dada mmoja hivi keshachukua anaanza July
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Hiyo kali, sie wa huku Katavi hatujui hata ilitangazwa kwenye gazeti gani sasa nyie wa mjini mnauliza kama walishaita. By the way mi nilivoona tu heading si nikadhani mleta mada kamwaga madini
There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".
siku nyingine bora waseme kabisa wanataka wadada tu ndo wa aply,mimi nilikuepo kwenye interview na uyo dada tuliekua nae alikua shalo vibaya sasa wangesema tu wanataka mwanamke tungewaelewa kuliko kupotezea watu mda
liwike lisiwike kutakucha tu, tusilaumiane ss kwa ss tatizo ni mfumo, u know wat ....... ngoja nirudi ntakupa kisa picha
Hasira za mkizi……by what measure are judging the winner to be shallow? You could be right only if her knowledge triviality was followed by a failure. But to the opposite she made it through, she is going to sign the contract, leaving you lamenting, condemning and shouting. Therefore, scientifically the shallows are those who failed. Are you among them?
Hiyo ndio bongo TWB huwezi pata job mpaka umjue mtu ndugu yangu na bado sio TWB tu bali sehemu nyingi hapa nchini.
Pole sana. Elewa ya kwamba huyo IT Manager wa pale naye bogaz sio mchezo kale kajamaa kanavaa miwani yenye lenzi ya hatari.
Tuone mwisho wake.
Mmmh mimi ndo nilitangaza hii post hapa (baada ya kuisikia TWB) na i can assure you TWB wamechagua mtu fairly sana na alikuwa competent. Wakati mwingine lazima mfike mahali mkubali kuwa kuna watu wana expirience kuwazidi na wako competent hata kwenye GPA na wanafanya hiyo kazi. Kama vijana tutakuwa na attitude kama hizi za kujaji wenzenu basi nakuhakikishia utatafuta kazi sana.
Sidhani kama TWB kuna upendeleo. Ila kama ndivyo tutaacha kuzitangaza hizi kazi JF maana inaonyesha hamna shukrani. Sisi tunataka vijana mpate kazi lakini kama attitude zenu ni hizi mmh. I feel offended. SERIOUSLY.
Pia lazima mtambue kuwa kazi ile ilitanganzwa JF pekee kwa hiyo aliyepata ni mtu wa JF na hivyo u should be proud.
Caren
Ni kweli hata mimi nilifanya hiyo interview lakini sikubahatika ila kwa hawa watu wenye kutoa kauli chafu humu aiwasaidii muhimu kuongeza juhudi na kumtanguliza mungu matusi na kejeli aztatusaidia mbaya zaidi unapomuhukumu
mwenzako ati yule dada alikua shalow unajuaje? Hata kama shalow si huwa kila kampuni kunakua training session for
any new technology? Mwache atagain atakua kama wewe tuu.
Clemence
Last edited by Gerald; 14th June 2012 at 18:16.
Kaka unaonekana uliipania hiyo nafasi, life nikama game kuna kushinda au kushindwa, muungwana ni yule anaye kubali matokeo naku tafakari pakuanzia kunyanyua mguu wake kuanza safari nyingine, ipo sehemu yako unaweza zaidi itakuja! fight zaidi!
Ok tukubali ni shalow kumbuka hiyo bank ni ya wanawake na kipaumbele lazma kiwe mwanamke so may be ni ndio kigezo lakini kila mtu na wewe mmojawao unayesema unajua mambo kuwa experience, confidence na nakadhalika vinapatikana kazini so mwachie hata pata uzoefu na akawa mzuri may be kukushinda wewe. Pia bank inausalama wake pia labda sisi tulioneka tunaweza kuiletea matatizo na ndio maana kwenye selection kuna vitu vingi wanaangali specialy kwenye sector zote za kibank sio kuchukua mtu tu from no where nafikiri utakua umenielewa.
Follow Us Here