JamiiSMS
Show/Hide This

Topic: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Report Post
Results 1 to 14 of 14
1. benny50's Avatar
Member Array
Join Date : 1st June 2012
Posts : 19
Rep Power : 420
Likes Received
7
Likes Given
11

Post nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

habari za mchana wadau...kazi hizo

2. galagaja mtoto's Avatar
Member Array
Join Date : 24th May 2012
Posts : 84
Rep Power : 435
Likes Received
16
Likes Given
26

Default Re: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Quote By benny50 View Post
habari za mchana wadau...kazi hizo
THAWA MDHADHI THA MBONA UJATHEMA NI DHA TAREE NGAPI? THINTH DHE ANOUNTHIMENT HADH ALREADY PUT IN DHE JAMVI. ANGALIA VIDHURI KWENYE OLODHA YA NAFATHI DHA KADHI.

vuta buti mkuu.

3. Brightman Jr's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 22nd March 2009
Posts : 974
Rep Power : 778
Likes Received
143
Likes Given
40

Default Re: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Mkuu kwanini usiiweke kama HIVI HAPA?
Last edited by Brightman Jr; 6th June 2012 at 19:05.

4. titomrina's Avatar
Junior Member Array
Join Date : 3rd April 2012
Posts : 5
Rep Power : 427
Likes Received
0
Likes Given
0

Default Re: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Wameshapeana tayari nyie mtaenda tu utaratibu ukamilike.

5. titomrina's Avatar
Junior Member Array
Join Date : 3rd April 2012
Posts : 5
Rep Power : 427
Likes Received
0
Likes Given
0

Default

Wameshapeana tayari nyie mtaenda tu kukamilisha utaratibu.

6. Clean9

7. christine ibrahim's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 26th February 2012
Location : earth
Posts : 6,684
Rep Power : 134112012
Likes Received
1905
Likes Given
10462

Default

Quote By titomrina View Post
Wameshapeana tayari nyie mtaenda tu kukamilisha utaratibu.
Hili nalo neno

8. Aisatu's Avatar
Member Array
Join Date : 27th December 2012
Posts : 42
Rep Power : 395
Likes Received
4
Likes Given
0

Default Re: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Mbona kwenye web hakuna tangazo la ajira au washapeana?

9. Mshirazy's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 21st March 2013
Posts : 405
Rep Power : 457
Likes Received
62
Likes Given
3

Default

Quote By titomrina View Post
Wameshapeana tayari nyie mtaenda tu kukamilisha utaratibu.
kijana usijikatie tamaa bana ,sekretariet ya ajira ktk utumishi wa umma ni chombo cha kuajiri watumishi wa umma na sio kupeana!just apply,utashindanishwa na wenzako na wale watakaopata alama za juu hupewa ajira!

Tusikatishane tamaa jamani!

10. kuku87's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 3rd March 2013
Location : Dar
Posts : 729
Rep Power : 623
Likes Received
141
Likes Given
10

Default

Quote By Aisatu View Post
Mbona kwenye web hakuna tangazo la ajira au washapeana?
hizo kazi ni za last year hyo post imekuja juu sababu mtu amecomment

11. CAREEN QUEEN's Avatar
Member Array
Join Date : 18th March 2013
Posts : 79
Rep Power : 391
Likes Received
33
Likes Given
11

Default Re: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

Hahahaaa wameshapatikana wenzenu na kazi wameanza..nyie mnaendaga tu kukamilisha utaratibu

12. Fruit's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 1st January 2013
Posts : 169
Rep Power : 420
Likes Received
43
Likes Given
3

Default Re: nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

[QUOTE=CAREEN QUEEN;6005434]Hahahaaa wameshapatikana wenzenu na kazi wameanza..nyie mnaendaga tu kukamilisha utaratibu

Eti kukamilisha tu utaratibu! tena ukome kuja jukwaa hili na kuwakatisha tamaa wenzako inaonekana una hamu sana ya kucomment! najua ni mgeni sasa sio kila thread una comment, kumbe hata wiki hujamaliza tangu uingie humu halafu unaleta utumbo funga domo lako
Join Date : 18th March 2013
Posts : 15
Rep Power : 305

Likes Received 1
Likes Given 3

kumbe umekuwa registered juzi tu halafu unaleta za kuleta acha kihelehele mkuu unaonekana una hamu sana ya kucomment! alaa! nyama weee!

13. christine ibrahim's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 26th February 2012
Location : earth
Posts : 6,684
Rep Power : 134112012
Likes Received
1905
Likes Given
10462

Default

[QUOTE=Fruit;6006019]
Quote By CAREEN QUEEN View Post
Hahahaaa wameshapatikana wenzenu na kazi wameanza..nyie mnaendaga tu kukamilisha utaratibu

Eti kukamilisha tu utaratibu! tena ukome kuja jukwaa hili na kuwakatisha tamaa wenzako inaonekana una hamu sana ya kucomment! najua ni mgeni sasa sio kila thread una comment, kumbe hata wiki hujamaliza tangu uingie humu halafu unaleta utumbo funga domo lako

Join Date : 18th March 2013

Posts : 15

Rep Power :    &nbsp ;    &nbsp ;    &nbsp ;    &nbsp ;    &nbsp ;    &nbsp ;  305

Likes Received 1

Likes Given 3

kumbe umekuwa registered juzi tu halafu unaleta za kuleta acha kihelehele mkuu unaonekana una hamu sana ya kucomment! alaa! nyama weee!

Ha haa haaa,mkuu naona amekuudhi

14. businezz_oligarch's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 16th December 2012
Posts : 145
Rep Power : 418
Likes Received
31
Likes Given
0

Default

[QUOTE=Fruit;6006019]
Quote By CAREEN QUEEN View Post
Hahahaaa wameshapatikana wenzenu na kazi wameanza..nyie mnaendaga tu kukamilisha utaratibuEti kukamilisha tu utaratibu! tena ukome kuja jukwaa hili na kuwakatisha tamaa wenzako inaonekana una hamu sana ya kucomment! najua ni mgeni sasa sio kila thread una comment, kumbe hata wiki hujamaliza tangu uingie humu halafu unaleta utumbo funga domo lakoJoin Date : 18th March 2013Posts : 15Rep Power : 305Likes Received 1Likes Given 3kumbe umekuwa registered juzi tu halafu unaleta za kuleta acha kihelehele mkuu unaonekana una hamu sana ya kucomment! alaa! nyama weee!
Weeee kuja juzi haimaanishi hata hajui kinachoendelea huko duniani,inawezekana kabisa anachoongea kina ukweli asilimia kadhaa,lakini pia kunakuwa na nafasi za watu wengine ambao wanapeleka cv zao bila kumjua mtu huko,na wao huwa wanapata kutokana na nafasi zao,lakini huo ndo ukweli aliosema mkuu,hata wewe ungekuwa ndani humo ungemtafuta binti yako umweke au rafiki yako umweke au mtoto wa shangazi ndo baadae uwafanyie interview wengne 100 kwa nafasi 2 zilizobaki....me nahisi we umo humo kwenye group la kuwekana.

15. nyanungu magena's Avatar
Member Array
Join Date : 27th November 2010
Posts : 58
Rep Power : 507
Likes Received
1
Likes Given
0

Default

[QUOTE=businezz_oligarch;601573 0]
Quote By Fruit View Post
Weeee kuja juzi haimaanishi hata hajui kinachoendelea huko duniani,inawezekana kabisa anachoongea kina ukweli asilimia kadhaa,lakini pia kunakuwa na nafasi za watu wengine ambao wanapeleka cv zao bila kumjua mtu huko,na wao huwa wanapata kutokana na nafasi zao,lakini huo ndo ukweli aliosema mkuu,hata wewe ungekuwa ndani humo ungemtafuta binti yako umweke au rafiki yako umweke au mtoto wa shangazi ndo baadae uwafanyie interview wengne 100 kwa nafasi 2 zilizobaki....me nahisi we umo humo kwenye group la kuwekana.

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...