hizi benki jamani huwa csikii kabisa wakitoa nafasi au wenzangu mshasikia?
hizi benki jamani huwa csikii kabisa wakitoa nafasi au wenzangu mshasikia?
Mi nishasikia wakitoa nafasi za kazi tena mara nyingi tuu ila upatikanaji wake(wa hizo kazi) ndio huwa siuelewi aisee.
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
nackia undugu sana pale
Hata mimi sijawahi sikia crdb/nmb wakitangaza nafasi, kuna ofisi/kampuni nyingi hapa TZ sijwahi sikia wakitangaza nafasi za kazi hata mara moja, ila kuna wafanyakazi wanafanyakazi, sasa sijui huwa wanawapata vipi hao wafanyakazi....
Hiyo ndiyo a.k.a kimya kimya au a.k.a chinichini na kujuana...
Nepotism, Favoritism, Corruptions in monetary terms, and mankind:
Goma kimya Kimya mkuu.
hakuna undugu kivile jamani,ila wewe ukijiona unasifa omba tu kazi isipokuwa Branch Manager cuz haiwezekani najua ila ngazi za Afisa wa Benki yaani ni kawaida saaaaaaaaaaaaaaaana kama Teller! kikubwa kujua utaratibu jinsi ya kuomba tu ndg zangu!
tatizo mmeshajiaminisha kwamba kila kitu ni adi kujuana.... kikubwa nachowashauri, jenga mtazamo chanya na UWE TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE. Maana mfano NMB hutangaza kazi KI-KANDA na kanda moja ilitangaza kazi mwaka jana ila waliweka TAHADHARI kwamba kwa MWENYE MTAZAMO WA KUTAKA KUFANYA KAZI MATAWI YALIYOPO MJINI, BASI ASIOMBE..
kazi kujuana ndio kwani uongo!!! wachache sana wanapata kwa uhalali!!! wengine hadi utoe ktu kidogo
sio lazima kujuana jamani...mbona kuna watu wamepata kihalali kupitia applications zao tu? visit their website and apply kama una vigezo vya kuwa bank officer
Kweli unabaki pale pale,kupata kazi katika benk zetu kama nmb,nbc na crdb uwe na mtu wa kukubeba vinginevyo imekula kwako,kazi zao uwa wanaajiri kimya kimya,michakato yao ya ajira haieleweki ni undugu,urafiki na ujamaa umewajaa watu wa benk kazi zinazotangazwa ni chache mno na ni mara moja moja sana hasa za senior position hizo zingine wanabebana tu wewe kama una jamaa yako yeyote anafanya katika hizo benk muulize atakuambia ukweli!
[QUOTE=Nsemwa Elly;3947187]Nepotism, Favoritism, Corruptions in monetary terms, and mankind:[/QUOTE
ni vema kutumia rasilimali ulizonazo
hapo ni mambo ya KAMLETE
Follow Us Here