Re: Haya ni maajabu ya tume ya ajira!!!!tutafika????????????? ???

By
msani
mkuu mie sijasoma bana ila nimesikitika kuona kuwa kuwa watu wanashindwa kuajiriwa kwa kuwa hawana vyeti huku wakiwa na transcript halali za chuo lkn pia haohao utumishi wanaajiri walimu bila hata transcript na mtu anaonesha transcript anaporipoti kwenye kituo cha kazi!!!!!je sera ni ipi inayofanya kazi kwa walimu na kwa watu wa kada zingine!!!??
Utumishi ya wapi inayoajiri Walimu? Walimu wanafanyiwa Usaili wapi? Endelea tu kulalamika na ukipata transcript utaomba kwa wakati wako. Kama unajilinganisha na Walimu kwanini wewe bado upo mtaani na wenzio wapo kwenye ajira msani?
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
Follow Us Here