Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Best paying company in tanzania

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 88
    1. #1
      luckitu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th June 2009
      Posts : 10
      Rep Power : 506
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Best paying company in tanzania

      Jamani naomba mnisaidie nafanya research nataka kufahamu makampuni/mashirika ya uma kumi bora kwa ulipaji mzuri wa mishahara pamoja na marupurupu na faida za ziada kama matibabuna mengineye. Naomba mnisaidie kwa ambaye ana information hata ndigo itanisaidia katika research yangu

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      steveachi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th November 2011
      Posts : 800
      Rep Power : 541
      Likes Received
      140
      Likes Given
      56

      Default Re: Best paying company in tanzania

      mtaje na mishahara ya kwa waanzao kazi sasa tujue ubest wao upo wapi

    4. #42
      steveachi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th November 2011
      Posts : 800
      Rep Power : 541
      Likes Received
      140
      Likes Given
      56

      Default

      mtaje na mishahara yao kwa waanzao kazi sasa tujue ubest wao upo wapi,majina tu hayatusaidiiii

    5. #43
      ammui's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 359
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      je mnaweza kuamini kuna mtanzania hapa dar anafanyakazi kampuni moja ya simu ya hapahapa tz,analipwa tsh.6omillion???!!! Nina ushahidi wa kutosha coz nimeona saraly sleep yake,na nikaipiga picha ktk cm yangu. Ila nahofia maisha yangu,kwani ana bastola zaidi ya mbili, na ni halali,moja kati ya hizo nimeshawahi kuitumia tulipoenda kuwinda.the guy is friend of me! Ya pili ni ya kirusi ina magazines mbili kwenye kitako,na ya tatu ni ya ki jermany hii ni kiwambo cha sauti.cha ajabu huyu jamaa hajawahi kugombana na hana hasira,na mwisho ni ana mchezo wa kishenzi!pamoja na kuwa ana mke mzuri sana, na mkewe saivi anaendesha nissan murani xx5 na kabla ya hapo alikuwa na audi sport. Yy mwenyewe ana2mia prado new model ya compununi

    6. #44
      ammui's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 359
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default

      je mnaweza kuamini kuna mtanzania hapa dar anafanyakazi kampuni moja ya simu ya hapahapa tz,analipwa tsh.6omillion???!!! Nina ushahidi wa kutosha coz nimeona saraly sleep yake,na nikaipiga picha ktk cm yangu. Ila nahofia maisha yangu,kwani ana bastola zaidi ya mbili, na ni halali,moja kati ya hizo nimeshawahi kuitumia tulipoenda kuwinda.the guy is friend of me! Ya pili ni ya kirusi ina magazines mbili kwenye kitako,na ya tatu ni ya ki jermany hii ni kiwambo cha sauti.cha ajabu huyu jamaa hajawahi kugombana na hana hasira,na mwisho ni ana mchezo wa kishenzi!

    7. #45
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 466
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Jimbi
      mkuu wewe ni mwalimu? nikweli wanalipa hivyo, ninyi si mmeridhika na malipo duni
      kaka mimi ni mwalimu pia, kiukweli haturidhishwi na maslahi tunayopata kwenye hii kazi yetu, lakini sasa ndugu yangu unataka twende wapi?
      mimi kwa mfano, nimehitimu Higher Diploma ya IT tangu mwaka jana, kazi za ICT hazionekani, so, napigwa dolo tu hapa kwenye chaki. umenihuzunisha sana kaka, kwa maneno yako makali, bora tu umekula ban, upumzike kwa amani

    8. Miaka 50

    9. #46
      Janjaweed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,603
      Rep Power : 1124
      Likes Received
      1381
      Likes Given
      1531

      Default Re: Best paying company in tanzania

      tafuta ajira serikalini

      msharaha laki saba
      posho milioni nne
      safari wka siku (nje) dollar 600 na ndani 120,000
      kodi less than 20%

      it doesnt get any better
      Ogah and Bosco Ntaganda like this.
      Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

    10. #47
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 466
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Janjaweed
      tafuta ajira serikalini

      msharaha laki saba
      posho milioni nne
      safari wka siku (nje) dollar 600 na ndani 120,000
      kodi less than 20%

      it doesnt get any better
      serikali kwasasa nikama imepumzika kuajiri mkuu, hasa hii sekta ya ICT

    11. #48
      Janjaweed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,603
      Rep Power : 1124
      Likes Received
      1381
      Likes Given
      1531

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By kichuki
      serikali kwasasa nikama imepumzika kuajiri mkuu, hasa hii sekta ya ICT
      kamanda

      tuna tatizo kubwa sana kwenye ajira, na expectations za graduate

      vijana graduates wanategemea kuanza kazi kama mabosi, kwasababu ni graduates, na ajira hakuna... ushauri wangu, many private employers need qualified staffs, ila waoga kuajiri mojakwamoja kutokana na tabia za new graduates kwahiyo wanaajiri za wa certificates na diploma kwani wao huwa kweli wanataka sana kazi kuliko chochote

      pambana hata kama ni kwa kuanzia chini
      Ogah, Ellie and Bosco Ntaganda like this.
      Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

    12. #49
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 466
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Janjaweed
      kamanda

      tuna tatizo kubwa sana kwenye ajira, na expectations za graduate

      vijana graduates wanategemea kuanza kazi kama mabosi, kwasababu ni graduates, na ajira hakuna... ushauri wangu, many private employers need qualified staffs, ila waoga kuajiri mojakwamoja kutokana na tabia za new graduates kwahiyo wanaajiri za wa certificates na diploma kwani wao huwa kweli wanataka sana kazi kuliko chochote

      pambana hata kama ni kwa kuanzia chini
      shukrani kwa ushauri mzuri mkuu, acha niendelee kuchanga karata
      Janjaweed likes this.

    13. #50
      Janjaweed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,603
      Rep Power : 1124
      Likes Received
      1381
      Likes Given
      1531

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By kichuki
      shukrani kwa ushauri mzuri mkuu, acha niendelee kuchanga karata
      siri kubwa ya wewe kupata kazi ni kutumia ndugu jamaa na marafiki... magazeti yanasaidia lakini success rate ni less than 20%

      pambana na ndugu na jamaa wakuungieshe hata kwa kuanza kama volunteers
      Ogah and Ellie like this.
      Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

    14. #51
      Bosco Ntaganda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th January 2012
      Location : DRC- MSITUNI
      Posts : 489
      Rep Power : 466
      Likes Received
      64
      Likes Given
      63

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Janjaweed
      siri kubwa ya wewe kupata kazi ni kutumia ndugu jamaa na marafiki... magazeti yanasaidia lakini success rate ni less than 20%

      pambana na ndugu na jamaa wakuungieshe hata kwa kuanza kama volunteers
      umesomeka vyema mkuu wa kikosi

    15. #52
      Hute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 1,406
      Rep Power : 711
      Likes Received
      354
      Likes Given
      23

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Ndekapawayowa
      Majibu uliyoyatoa umeyafanyia analysis ya kutosha kama GT au umekurupuka? Kwa uelewa wangu kuhusu hayo makampuni uloyataja yanaweza kuwa katika level ya kati ya makampuni yanayolipa zaidi. usiangalie mishahara ya mtu mmojammoja kwa kuangalia majukumu na nafasi yake, usiangalie mambo wanayofanya wanapokuwa likizo, kuna mambo mengi yamefichika nyuma usoyajua!! Na hiyo likizo ya 3 kwa 2 sijui umeitoa wapi!! Jumuiya ya ma Human Resource wa tanzania wana majibu mazuri kuhusu mishahara
      unajua tz tunasumbuliwa sana na watu mambumbumbu kama wewe, yaani wa aina yako na wengine waliochallenge hii kitu. cha ajabu ni kwamba, mimi naongea kitu halisi, nimekuwepo tulawaka, Bulyanhulu na Buzwagi kwa muda mrefu. siongei kitu nilichokisikia kwenye magazeti au kwa wanasiasa. hatuhitaji kubishana hapa, ongea kuhusu uzoefu wako usiongee kutoamini ambacho wengine wamesema wakati wewe huna data halisi au utafiti au hujafanya kazo huko kabisa. watz wengi wa aina yako hata shule huwa wanakuwa wameenda kutomea kubishana, hata kitu cha kweli atabishana, hata kitu asichokijua atabishana matokeo yake atajikuta hajui kitu kwasababu haamini kila kitu. pole samaki pole!
      Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!

    16. #53
      Hute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 1,406
      Rep Power : 711
      Likes Received
      354
      Likes Given
      23

      Default Re: Best paying company in tanzania

      ungenambia, mmbongo akilipwa milioni mbili au tatu, mzungu mwenye elimu na uzoefu uleule analipwa milioni kumi, kumi na tano na kuendelea. kule Tulawaka na migodi meingine ya kahama, wazungu wengine ni walinzi tu wa kawaida, kazi wanazofanya ni za ulinzi tu kama ule wanaofanya wabongo, wengine ni wafilipino na wa nepal wamekuja kufanya kazi ya ulinzi...lakini mishahara yao ni mikubwa sana, kuanzia ten mill. kuhusu chakula, zamani mfano tulawaka walikuwa wametenganishwa, mess za wazungu na zile za wabongo, bar za wazungu na zile za wabongo, sasaivi wabongo waliandamana hivyo wazungu wote na wabongo,...kuanzia hata GM(general manager wa mgodi) wanakula pamoja na chakula cha standard sawa. kuna makampuni ya catering toka ufaransa mengine yanalisha mle ndani, chakula chao ni cha hali ya juuu....ukiingia mle siku moja utashangaa
      Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!

    17. #54
      zantel's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 66
      Rep Power : 600
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Hute
      Barrick Gold Tanzania, na Geita (migodini). kule ukienda, Human recource anaweza kuwa analipwa hata milioni tatu hadi tano kwa mwezi. mlinzi wa mgodini wanalipwa laki tisa hadi milioni moja na nusu. mwanasheria wa kampuni analipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kwa mwezi. mfano Tulawaka, hiyo ni net, halafu chakula bure mnapikiwa cha first class (western) unakula tani yako, hivyo huo mshahara hautanunua chakula etc. ndio maana wanamalizia kwenye uzinzi tu wakienda likizo. unafanya kazi wiki tatu, wiki mbili likizo. hao ndo wazungu bwana. pamoja na kwamba wanatuibia sana, lakini watz wenzetu wanaofanya kazi huko ndo wanalipwa hivyo.
      Umemdanganya, unao ushahidi, maana sio kusema, mie kuna mtu ninamfahamu alikuwa Barrick alikuwa analipwa si zaidi ya 2.5 take home, na kwamba wanafanya kazi wiki 6 wanapumzika wiki 3, endelea kumsaidia, hujamsaidia bado

    18. #55
      zantel's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 66
      Rep Power : 600
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By zantel
      Umemdanganya, unao ushahidi, maana sio kusema, mie kuna mtu ninamfahamu alikuwa Barrick alikuwa analipwa si zaidi ya 2.5 take home, na kwamba wanafanya kazi wiki 6 wanapumzika wiki 3, endelea kumsaidia, hujamsaidia bado
      Na hapo hyo jamaa alikuwa anaitwa Human Resources Superintendent, kwa hyo alikuwa sio mtu mdogo.

    19. #56
      odinyo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Posts : 232
      Rep Power : 414
      Likes Received
      39
      Likes Given
      10

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Quote By Hute
      inawezekana mimi sijaelewa, asante kwa kunielewesha, lakini naomba niambie, kwa kichwa cha habari cha mtoa mada, ukisikia mtu anasema '" BEST PAYING COMPANY" utaelewa kama amesema mashirika ya umma? mimi sikusoma alichoandika chini, hapa nina kazi zangu nyingi hivyo nilisoma tu kichwa cha habari. best paying company which includes private and public companies au government corporations. nafikiri wewe uelewa wako ndio kidogo unazingua. hebu jamani nisaidieni alichosahihisha huyu jamaa anayejiita mwenye akili.

      kuhusu mishahara yao hao jamaa, actually yawezekana yapo makampuni yanayolipa zaidi ya hao, lakini kwa figure hiyo niliyoweka ni sahihi, nina uhakika nayo na hata hivi sana niko huko huko. asanteni.
      ndiyko

      ukimnyooshea mtu kidole kimoja normally vidole vinne hukunyooshea ww mwenyewe.

    20. #57
      Dine's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 43
      Rep Power : 365
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Hello members wa jf mabibi na mabwana hamjambo

    21. #58
      Amanyisye's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 23
      Rep Power : 427
      Likes Received
      3
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By jmnamba
      My Question is so why Do barrick wanatangaza nafasi za kazi kila kukicha?
      Au ndio maisha ya camp boring kwa stuff?
      Being far from family and friends?
      Huwa sielewagi why maana people left sana pale...
      Labda hapa ntapata majibu. (Any help)?
      Kawaida migodini kama uko siriasi na kutafuta hela ni kufanyakazi miaka miwili then unaacha,ni mahala hatari zaidi kimaisha kuanzia kazini mpaka kijijini wanapoishi wafanyakazi.

    22. #59
      fabinyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th August 2011
      Posts : 1,809
      Rep Power : 816
      Likes Received
      351
      Likes Given
      278

      Default Re: Best paying company in tanzania

      police nao wako poa!

    23. #60
      steve's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th July 2008
      Posts : 1
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Best paying company in tanzania

      Through my experience in auditing firms assigments in different companies kwenye mashirika ya uma tanapa, tanesco, has good rate in terms of salary but they pay through experience not education nilishangaa sana kukuta kuna watu wana certificates but wanafika hadi 3 m,

      Tukitoa mashirika ya uma yaani overall paying companies zinazoongoza ni za oil and gas explorations na zinazifata ni za madini in terms of salaries, watu waliopo kwenye oil and gas industry ni balaa hadi auditors mnajiuliza mishahara yote ya kazi gani hii,


      Are yo real auditor you dont adhere to the code of conduct to the confidetiality

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...