JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/B/26 21 Machi, 2012
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 2 hadi 3 Februari, 2012 na 16 hadi 17 Februari, 2012 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
NA.
MAMLAKA YA AJIRA
TAALUMA/KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
1.
NATIONAL EXAMINATION COUNCIL OF TANZANIA (NECTA)
BINDER
1. BRIAN B. LELO
2.
OCCUPATIONAL SAFETY AND HEALTH AUTHORITY (OSHA)
NURSING OFFICER II
1. AMIN JOSEPH YOSOMANA
MEDICAL OFFICER II
1. EDWIN MICHAEL SENCUO
INSPECTOR I (PLANT SAFETY)
1. YUSUPH H. MRUMA
INSPECTOR II (ERGONOMICS)
1. SUSAN REUBEN
2
3.
INSTITUTE OF JUDICIAL ADMINISTRATION (IJA) – LUSHOTO
SENIOR ESTATE OFFICER
1. ARCH YASIN MAKANGE
4.
TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC)
RESEARCH OFFICER I (DIETETICS)
1. ELIZABETH J. LYIMO
2. NYAMIZI JULIUS
RESEARCH ASSISTANT (ECONOMICS)
1. REGIS MMBANDO
PRINCIPAL ASSISTANT ACCOUNTANT
1. ALLY ZAHORA SAID
5.
TANZANIA PUBLIC SERVICE COLLEGE (TPSC)
ASSISTANT LECTURER (FINANCE)
1. HERIELI E. NGUVAVA
2. SABATH MAKAMA UROMI
3. ANDREW FRANK MGAYA
ASSISTANT LECTURER (HUMAN RESOURCES MANAGEMENT)
1. EMMANUEL TANDIKA
2. MOHAMED ABBASI BALOZI
ASSISTANT LECTURER (INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY)
1. HOSEA GEORGE
EXAMINATION AND CERTIFICATION OFFICER
1. BONIFACE MTIAMA ABEL
SENIOR INTERNAL AUDITOR
1.CHRISTINE MBOMA
RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II
1.BELUNDA G. MILAMBO
SENIOR PROCUREMENT AND SUPPLIES OFFICER
1. MAGNUS M. MLOKOTA
6.
COMMUNITY DEVELOPMENT TRAINING INSTITUTE (CDTI) - TENGERU
ASSISTANT LECTURER
1.EBENEZARY A. LAWUO
X. M. Daudi
KATIBU
NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo:
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS, Public Service Management, PMORALG - Home - na The National Examinations Council of Tanzania