JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 40 of 40
  1. Kajole's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Posts : 156
   Rep Power : 565
   Likes Received
   15
   Likes Given
   1

   Default HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Mimi ni job seeker lkn nipo kijijini nalima mpunga hivyo mara nyingi simu yangu inakuwa mbali maana mazingira ya kaz ni maji tu hivyo naogopa kuilowanisha simu. Jana nilipigiwa simu mchana na sikuisikia,nilikuta mised call nikaamua kutuma msg "hallow habari?",akareplay "sory am busy now...". Nkaamua kupga akaniambia yeye ni HR wa kampuni fulan na alikuwa anataka kuniita kwenye interview kwa kuwa sikupokea simu basi tena hakuna chance,nikajaribu kumueleza,.akasema hvyo ndivyo akakata simu,je hyo ni halali kweli?

  2. Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 44,841
   Rep Power : 429505991
   Likes Received
   27376
   Likes Given
   28655

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   bila shaka huyo HR atakua ni mwanamke maana ndio huwa wana nyodo sana

  3. vipik2's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th November 2011
   Posts : 1,122
   Rep Power : 1229693
   Likes Received
   325
   Likes Given
   169

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Quote By COURTESY View Post
   ma HR wengi wana roho za korosho mkuu sijui kwanini?nway never give up utashinda
   Kama hiyo Institute ina HR wa hivyo basi haifai kwani alivyokutendea ndio image ya Institute yenyewe, au ni kampuni ya wahindi? endelea kutafuta taratibu

  4. COURTESY's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th June 2011
   Location : MABWEPANDE
   Posts : 2,002
   Rep Power : 0
   Likes Received
   619
   Likes Given
   764

   Default

   Quote By Janja PORI View Post
   duu mku unadiclose kabsa haha kakutenda nini namjua yule mshenzi
   ndio dawa yao,ana nyodo utasema kampuni ya babake,ameshatuzingua so many times mkuu!!mi sitaki hata kumuona yule dada,anakupa majibu ya shombo mpaka unajidharau mwenyewe

  5. COURTESY's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th June 2011
   Location : MABWEPANDE
   Posts : 2,002
   Rep Power : 0
   Likes Received
   619
   Likes Given
   764

   Default

   Quote By watu8 View Post
   bila shaka huyo HR atakua ni mwanamke maana ndio huwa wana nyodo sana
   hujakosea uko very right mkuu

  6. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 16,028
   Rep Power : 85937896
   Likes Received
   4330
   Likes Given
   7729

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Hajakutendea haki hata kidogo
   Alipokukosa alitakiwa akupigie tena si ndo kazi yake bwana
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?


  7. NasDaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th May 2009
   Location : Ushenzini
   Posts : 7,124
   Rep Power : 274997006
   Likes Received
   4222
   Likes Given
   4102

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Niliwahi kutokewa na scanerio kama hiyo toka kampuni ya SimbaNet. Nilipigiwa simu kwa ajili ya Telephone Interview.....Unfortunately, nilikuwa sehemu yenye kelele sana hivyo nikamuomba dada aliyenipigia anipe about 3 minutes ili nisogee sehemu muafaka for it; sehemu ambayo tungeweza kusikilizana vizuri! Niliposogea sehemu iliyo tulivu, nikaenda hewani! Simu ikaita sana, lakini haikupokelewa! Nikapiga tena zaidi ya mara tatu; simu haikupokelewa! Nikakata shauri la kuwatumia email....miaka miwili sasa, email yangu haijajibiwa ingawaje natumaini nitajibiwa tu! In short, ma-HR wengi wa Tanzania wapo hivyo.....wanakupigia mara moja, ukishindwa kupokea tu, imekula kwako as if wakati wote ni lazima uwe secure place. Binafsi, sehemu ambayo naamini kuna professionalism kwenye masuala ya HR basi ni pale Standard Chartrered Bank! Ni juzi tu hapa, jamaa walinipigia lakini kwa bahati mbaya walipiga wakati nikiwa kwenye daladala...sikuisikia! Hata hivyo, nusu baadae nilipowapigia, mdada wa HR alipokea na good enough alishafahamu in advance anapigiwa na nani! Four dayz later nikawapigia kutoa appreciation for interview (ingawaje nilishakosa nafasi) bado HR yuleyule ilimchukua robo dakika tu kukumbuka kwamba ni nani alikuwa anaongea nae!! Hawa jamaa hata ukiwapelekea CV, lazima watakuita tu kama una sifa!
   1. Sometimes this world needs crazy decisions and crazy decision makers if that's only what it takes to make it the better place for the mankind.

  8. Kuku wa Kabanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2009
   Posts : 510
   Rep Power : 712
   Likes Received
   88
   Likes Given
   11

   Default

   Quote By Kiranga View Post
   Hivi kwa nini tunaona kufanya kazi kwa watu ni "kushinda", hata kama watu wenyewe hawana adabu kama huyo mtu wa HR?

   Mie mpaka hapo nitakuwa nishaona hiyo sehemu ina utamaduni wa kutothamini watu, na hata nikipata kazi naweza nisielewane nao.

   Unapotafuta kazi ujue kuwa muajiri naye anatafuta mfanyakazi. Wanapo ku interview wewe ujue na wewe una wa interview wao.

   Usifanye "kukosa kazi" kuwe shida itakayokufanya uwe desperate kiasi cha kutaka kufanya kazi kwa yeyote tu. Angalia utu wako pia, kama vipi angalia uwezekano wa kujiajiri ili usipate kufadhaishwa na watu wanaojiona miungu wadogo kwa sababu wamepewa ofisi fulani za kuajiri na nchini mwetu kuna upungufu wa ajira hizi.
   Well spoken,kama ulikua kwenye mawazo yangu mkuu.
   Kiranga likes this.

  9. Kajole's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Posts : 156
   Rep Power : 565
   Likes Received
   15
   Likes Given
   1

   Default

   sasa mimi na wewe taahira nani?simu ya mkononi badala ya kutembea nayo unaweka juu ya mafiga unakaa unakunywa ulanzi...nani akupe kazi ..kaa lima mjini mnakuja kutujazia foleni tu hapa-HEE KIGOGO VPI TENA?,NINA MASHAKA NA UELEWA WAKO NDG,VP WEWE WA HAPO HAPO DAR AU ULIENDA TU?.

  10. Bumpkin Billionare's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Location : Msangabunyesa
   Posts : 1,337
   Rep Power : 831
   Likes Received
   598
   Likes Given
   211

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Quote By Mende0 View Post
   Pole mkuu umejiengua mwenyewe pasipo kujua
   Wewe acha mambo ya kijinga, amejiengua vipi? Kutopokea simu kwa wakati si kosa na si sababu kamwe. Kama binadamu unakula, unaoga unakunya unasali n.k, yeye huyo HR na wewe unayeongea utumbo hapa hamuendi chooni?

   Akili zako kweli za mende, umeniudhi kweli kweli.

   Huyu jamaa yetu kafanyiwa kitu kibaya na wewe unaongezea utumbo hapa. ÅXæ'*zy'x*yz zako
   An Idea isn't responsible for the people who believe in it.
   Donald Robert Marquis (1878 - 1937)
   American Writer


  11. Bumpkin Billionare's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2012
   Location : Msangabunyesa
   Posts : 1,337
   Rep Power : 831
   Likes Received
   598
   Likes Given
   211

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Quote By Kigogo View Post
   ww sio serious candidate endelea na kilimo huko uliko mambo ya ofisini huyawezi
   Kichefuchefu kama hiyo avatar yako. Serious candidate yukoje? Anaomba kazi na kukaa nje ya ofisi kusubiri kuitwa?

   Huyu ndugu ni mfano wa kuigwa, anatafuta kazi huku anajishughulisha na jambo lingine la kumpatia hata huto tusenti twa kununulia stamp. Wewe kwa kujiona ndio una akili saaana unaleta kujua na ujinga wako hapa.
   An Idea isn't responsible for the people who believe in it.
   Donald Robert Marquis (1878 - 1937)
   American Writer


  12. Narubongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 1,922
   Rep Power : 941
   Likes Received
   945
   Likes Given
   690

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   tatizo ni kwamba ma HR wa tz cha kwanza huwa wanafikiri kukupa kazi ni kukusaidia wewe badala ya kufikiri kuwa unaweza ukaisaidia vipi org/comp. Huwenda wamepoteza kitu kikubwa sana katika ustawi wa org yao kwa kukutosa kuliko ambacho umekikosa wewe. Hiyo org ni ya kipuuzi dogo achana nayo maana HR reflects who are they, kuna ofisi utakuwa unajifungia chooni unalia peke yako.
   "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

  13. Gwota's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd March 2011
   Posts : 203
   Rep Power : 636
   Likes Received
   86
   Likes Given
   0

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   pole sana kaka mungu atakujalia utapata kwingine, lakini km unaweza weka hiyo namba hapa jf mm nimejitolea nitaipiga na kuifuatilia, haiwezekani kijana mwenzetu unakosa haki kwa upuuzi wa mtu mmoja, haiwezekani kampuni ikawa na utaratibu wa hv ila ni utashi waa huyu HR binafsi.

  14. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 24,938
   Rep Power : 88801359
   Likes Received
   7465
   Likes Given
   13005

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   hajakutendea haki lakini yeye ndio kashika mpini ...Mungu atakusaidia upate sehemu nyingine
   JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

  15. Utingo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2009
   Location : Lyazumbi
   Posts : 6,883
   Rep Power : 36914
   Likes Received
   1633
   Likes Given
   1073

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Quote By vipik2 View Post
   Kama hiyo Institute ina HR wa hivyo basi haifai kwani alivyokutendea ndio image ya Institute yenyewe, au ni kampuni ya wahindi? endelea kutafuta taratibu
   Tena bora amekosa,ukiajiriwa na watu kama hao unaweza ukachafuliwa CV ikakuchukua miaka kuirekebisha.
   Never Underestimate the Power of Stupid People in Large Groups

  16. THE BIG SHOW's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2012
   Location : tabata-dsm
   Posts : 12,395
   Rep Power : 56071
   Likes Received
   5591
   Likes Given
   8577

   Default

   sure kabisa,,hata mm keshawahi nizingua,yule HR wa Erolink is much Ridiculous..

  17. Tanganyika1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2011
   Posts : 332
   Rep Power : 596
   Likes Received
   38
   Likes Given
   4

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Quote By korino View Post
   pole mwaya ila jitahidi cm uwe nayo karibu hata jifunge nayo shingoni na kamba! lkn uwe nayo...la cvyo mhh! c unaona mambo yenyewe yanavyokuwa kuwa!
   du wanawake nao. wana comment kwa hurumaaaaaaaaa. eti pole mwaya hahahhaaaaaaaaaaa

  18. barbarian's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 16th February 2012
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   p0le sn mzee hy0 hr mzush na huend hy0 ni kampuni hewa 2, mwmbe Mung atakupatia nafas nyngne smwhre huwez kjua..

  19. mariavictima's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th July 2010
   Posts : 180
   Rep Power : 610
   Likes Received
   38
   Likes Given
   15

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Quote By Kigogo View Post
   sasa mimi na wewe taahira nani?simu ya mkononi badala ya kutembea nayo unaweka juu ya mafiga unakaa unakunywa ulanzi...nani akupe kazi ..kaa lima mjini mnakuja kutujazia foleni tu hapa
   Mungu hachezewi Kigogo. Kuna siku atachukua hicho ulicho nacho na kumpa huyo uliyemkebehi.

  20. Kajole's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Posts : 156
   Rep Power : 565
   Likes Received
   15
   Likes Given
   1

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Dah bongo kwel kazi!.

  21. Bubu Msemaovyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th May 2007
   Location : All around the World
   Posts : 3,485
   Rep Power : 4269163
   Likes Received
   2114
   Likes Given
   2570

   Default Re: HR huyu hakunitendea haki au ndio utaratibu ulivyo?.

   Wakuu mimi niliwahi kuomba kazi pale TBL nilimkuta dada mmoja alichonijibu kilinifanya hata brand zao sizipendi. Nilipowauliza wenyeji wakaniambia kuwa alikuwa na stress za harusi yake. Alinijibu as if I was interfering her marriage. Nilijisikia vibaya nikatoka zangu.


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...