Natafuta fild ya clearing and forwarding kwa kampuni yoyote inayohusiana na mambo ya clearing na forwarding.
Natafuta fild ya clearing and forwarding kwa kampuni yoyote inayohusiana na mambo ya clearing na forwarding.
Kweli we play boy keep playing
Ur not serious!Kawape taarifa wa2 wa facebook watakusaidia au watafute wapare wengi wana hzo kampuni!
Nenda TRA Long Room utakutana na players wengi kwenye hiyo field wanaweza kukusaidia.
kuna makampuni unaweza kuomba. acon, sai(hawa ni consolated),sai express, simba, fafu, jogoo, shiba, janda, binamungu, quality express. nenda pale station ofisi za tra asubuhi utawakuta. ulizia yoyote mtu anayefanyia kazi moja ya hizo kampuni lazima umpate. au nenda pale waf bandarini.
Hivi ni fild au field?
"Makalio ya sufuria hayaogopi moto"
Follow Us Here