JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kuitwa kwenye usaili

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. brazakaka's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd March 2010
   Posts : 119
   Rep Power : 623
   Likes Received
   14
   Likes Given
   11

   Default Kuitwa kwenye usaili

   Heshima sana wakuu! Majina ya walioitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira gonga link hiyo hapo www.pmoralg.go.tz, www.utumishi.go.tz
   TBC1 na ITV mnashindwa hata kutuwekea recorded news bulletin kwenye website zenu?


  2. gkipps's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th December 2011
   Posts : 31
   Rep Power : 511
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   mkuu pls usahili wa ajira gani ili kama zinatuhusu tutafute pc si unajua visimu havisomi pdf

  3. brazakaka's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd March 2010
   Posts : 119
   Rep Power : 623
   Likes Received
   14
   Likes Given
   11

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   Mkuu usaili huu ni kwa wale walioomba kazi chuo cha ustawi wa jamii
   TBC1 na ITV mnashindwa hata kutuwekea recorded news bulletin kwenye website zenu?

  4. sirmudy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th May 2010
   Posts : 358
   Rep Power : 661
   Likes Received
   69
   Likes Given
   137

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   Quote By brazakaka View Post
   Mkuu usaili huu ni kwa wale walioomba kazi chuo cha ustawi wa jamii

   Link hii hapa

   http://www.pmoralg.go.tz/documents_s...ari%202012.pdf

   Kazi kwenu wadau....!

  5. bakuza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2010
   Posts : 478
   Rep Power : 658
   Likes Received
   85
   Likes Given
   131

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   Pdf imenigomea kufungua hebu jaribu kui-paste hapa mkuu.


  6. knownless's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd December 2011
   Posts : 111
   Rep Power : 528
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   jamani wengine 2natumia simu so msaada unahitajika.

  7. paesulta's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 13th March 2009
   Posts : 226
   Rep Power : 785
   Likes Received
   23
   Likes Given
   10

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
   OFISI YA RAIS
   SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
   Kumb. Na. EA.7/96/01/A/156 13 Januari, 2012
   KUITWA KWENYE USAILI
   Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa
   kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na 8 ya mwaka 2002 kama
   ilivyorekebishwa na Sheria Na 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1), moja ya majukumu
   yake ni kuendesha usaili kwaniaba ya waaajiri katika Utumishi wa Umma .
   Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya
   Ustawi wa Jamii anatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya
   kazi, waombaji watakaofaulu usaili kama ilivyoonyeshwa hapa chini.
   Wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:
   1. Kuja na vyeti Halisi (original certificates) za kuanzia kidato cha nne na
   kuendelea kutegemeana na sifa za mwombaji
   2. Kila msailiwa aje na picha moja (Passport size).
   3. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
   4. Kila msailiwa azingatie tarehe na eneo alilopangiwa
   5. Wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue
   kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi
   zitakapotangazwa tena.
   6. Tangazo hili linapatikana pia katika tovuti zifuatazo:- President's Office - Public Service Management na
   www.pmolarg.go.tz.
   Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawatangazia wafuatao
   kuwa wanaitwa kwenye usaili kwa nafasi walizoomba. Usaili utafanyika tarehe 19
   Januari, 2012 na utaanza saa mbili Asubuhi katika Chuo cha Utumishi wa Umma
   Magogoni Dar es Salaam. Wasailiwa wa nafasi za Senior Computer Technician na
   Senior Examination Officer wataanza na mtihani wa mchujo na kufuatiwa na usaili
   wamahojiano tarehe 20 Januari, 2012 kwa watakao faulu kuendelea katika hatua
   hiyo. Waombaji wa nafasi za wahadhiri watafanya usaili wa mahojiano na
   kufuatiwa na uwasilishaji wa mada (Presentation) tarehe 20/01/2012.2
   1. ASSISTANT LECTURER SOCIAL SCIENCE DISCIPLINE
   MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 MIGY MUHENGA,
   BOX 42843,
   Dar es Salaam.
   2 JEREMIAH E.
   MBEMBELA,
   BOX 18111,
   Dar es Salaam.
   3 ZAINABU RASHID,
   BOX 18111,
   Dar es Salaam.
   4 MWALIM O. HAJI,
   BOX 1229,
   ZANZIBAR.
   5 MITULA, MKUMBO
   GODWIN,
   BOX 90245,
   Dar es Salaam.
   6 BUKAGILE GODFREY,
   BOX 79886,
   Dar es Salaam.
   7 SABBATH M. UROMI,
   BOX 174,
   TABORA.
   8 AMINA A. S. CHIVI,
   BOX 540,
   DODOMA.
   9 KANDURU H. ALLY,
   BOX 42701,
   Dar es Salaam.
   10 MASAKIJA JOHN,
   C/O MRS,
   CHRISTOPHER
   ONJARE,
   BOX 25169,
   Dar es Salaam.
   11 NDUMA B. GARI,
   C/O HALIMA MATANGE,
   BOX 5137,
   Dar es Salaam.
   12 PETER MGAWE,
   BOX 23241,
   Dar es Salaam.
   13 DAVID J. ISAYA,
   BOX 34429,
   Dar es Salaam.
   14 JANUARY JOHN,
   BOX
   15 ALPHONCE L.
   MAGAMBO,
   BOX 31890,
   Dar es Salaam.
   16 RAPHAEL
   ASANTEMUNGU,
   C/O IRENE A. KOKO,
   BOX 35049,
   Dar es Salaam.
   2. ASSISTANT LECTURER HUMAN RESOURCE MANAGEMENT
   MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 LINA MKILALU
   BOX 6733
   MOROGORO
   2 THOMAS MKUWA
   BOX 32421
   Dar es Salaam
   3 PROSTASIA PROSPER
   BOX 42245
   Dar es Salaam
   4 THERESA JUNE
   BAGENDA
   BOX 105322
   Dar es Salaam
   5 HAPPY MICHAEL
   BOX 12407
   Dar es Salaam
   6 PRISCA FIDELIS
   KIMARO
   BOX 11127
   ARUSHA
   7 MASUNGA J. NSOLEZI
   BOX 4728
   Dar es Salaam
   8 NURU A. KALUFYA
   BOX 79492
   Dar es Salaam
   9 ELIZABETH S. J.
   MASHISHANGA
   BOX 32966
   Dar es Salaam3
   10 LUCAS SAIMON
   MWAKAJINGA
   BOX 79886
   Dar es Salaam
   11 JANE MABULA
   BOX 20988
   Dar es Salaam
   3. TUTORIAL ASSISTANT SOCIAL WORK – MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 CATHERINE A.
   MANDA
   BOX 13815
   Dar es Salaam
   2 JEILANI NGARUBURWA
   BOX 90425
   Dar es Salaam
   3 TABULEY A. NJAVIKE
   BOX 32003
   Dar es Salaam
   4 NICHOLAUS LYIMO
   ℅ A. J. HOSPITAL
   BOX 13731
   Dar es Salaam
   5 GERALD JULIO
   SIMBEYA
   BOX 3375
   Dar es Salaam
   6 ALEX N. WAKOLI
   BOX 4625
   Dar es Salaam
   7 LUSEWA SHANI R.
   BOX 735
   MOROGORO
   8 EVETTA SOLOMON
   LEWA
   SINZA C 215
   Dar es Salaam
   9 FRANCIS DEDE
   MHONDO
   BOX 21353
   Dar es Salaam
   10 CHRISTINE BUNYIGE
   MWITA
   ℅ MOHAMMED
   RAMADHANI
   BOX 417
   TABORA
   11 HONEST LAURENCE
   BOX 61155
   Dar es Salaam
   12 NUHU JABIR
   BOX 19921
   Dar es Salaam
   13 MINANI
   NTAHOSANZWE
   ℅ NZIGO DAUDI
   BOX 9144
   Dar es Salaam
   14 GRADNESS GOODLUCK
   BOX 12406
   Dar es Salaam
   15 RICHARD M. HAULE
   BOX 3394
   MBEYA
   16 NKENDYANONI
   NAGUNIKA
   BOX 35809
   Dar es Salaam
   17 RICHARD A. MAPANDE
   LUGABA SECONDARY
   SCHOOL,
   BOX 81
   CHALINZE
   18 IMMANUEL MWASOTA
   BOX 2081
   MBEYA
   19 LULU TAWANI
   ℅HAMADI RASHIDI
   BOX 9522
   Dar es Salaam
   20 THECLA JOACHIM
   MASSAWE
   BOX 11622
   21 NAGUNIKA
   NKENDYANONI
   BOX 35809
   Dar es Salaam
   4. TUTORIAL ASSISTANT INDUSTRIAL RELATIONS
   MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 ASTERIA MLAMBO
   BOX 7181
   Dar es Salaam
   2 SIMON F. MSENGI
   BOX 76287
   Dar es Salaam
   3 MUSTAFA HAMISI
   BOX 11796
   Dar es Salaam4
   4 PATIENCE KAIJAGE
   RUGAIMUKAMU
   BOX 76287
   Dar es Salaam
   5 SARAH MATHEW
   SALASALA
   YOMBO SDA CHURCH
   BOX 40651
   Dar es Salaam
   6 KEFA AMANI
   BOX 3375
   Dar es Salaam
   5. SENIOR HUMAN RESOURCES OFFICER
   MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 JAMES MKUWA
   BOX 32421
   Dar es Salaam
   2 SEBASTIAN MPAMBA
   EMMANUEL
   BOX 75758
   Dar es Salaam
   3 EVA MORAND
   BOX 35091
   Dar es Salaam
   4 ALLY M. KASSINGE
   BOX 51
   RUANGWA
   5 GOODLUCK Y. KYANDO
   BOX 536
   MBEYA
   6 JOYCE RWEYEMAMU
   BOX 16282
   Dar es Salaam
   7 NURU A. KALUFYA
   BOX 79492
   Dar es Salaam
   8 KARISH AGAPITI
   BOX 2006
   Dar es Salaam
   9 INNOCENT FRANK
   BOX 435
   Dar es Salaam
   10 DASTAN NKANABO
   BOX 2171
   Dar es Salaam
   11 KAMBIORA MTEBE
   BOX 45220
   Dar es Salaam
   6. SENIOR RECORD MANAGEMENT ASSISTANT
   MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19/01/2012
   Na. JINA
   1. JOHN H. KOPWE,
   BOX 93,
   KILIMANJARO.
   7. PRINCIPAL LIBRARY ASSISTANT : MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19/01/2012
   Na. JINA
   1 SOPHIA ANSI,
   BOX 1418,
   MBEYA.5
   8. LIBRARY ASSISTANT : MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 AMOSI NASHONI
   KABOMBWE,
   C/O ABISAI LEONARD
   PRESIDENT'S OFFICE,
   PUBLIC SERVICE
   COMMISSION
   BOX 9143
   Dar es Salaam
   2 ROMANA J. NYANDINDI
   C/O MICHAEL J.
   MATIMBWI
   BAGAMOYO DISTRICT
   COUNCIL
   BOX 59
   BAGAMOYO
   3 CHIGWA MSAFIRI
   MWENEGOHA
   BOX 6165
   Dar es Salaam
   4 JAMES F. CHALLE
   C/O FILBERT
   KILOWOKO
   BOX 474 MOSHI
   5 JULIANA PAULIN
   RITTE
   BOX 1300 MOSHI
   6 EDWARD JOHN
   KATEGESYA
   C/O MRS NKWAKWA
   BOX 9283
   Dar es Salaam
   7 RAYNER J. RHITE
   C/O MARY RHITE
   BOX 9283
   Dar es Salaam
   8 ELIZABETH A.
   MGHAMBA
   BOX 287 BAGAMOYO
   9 NYAFUNGO JIRABI
   BOX 1900 DODOMA
   10 DESTELIA ITITA
   BOX 9283
   Dar es Salaam
   11 MWAJUMA BAKARI
   C/O HANIFA BAKARI
   BOX 705
   Dar es Salaam
   12 BHOKE NYANGI
   BOX 278
   BAGAMOYO
   13 OLIVA SIMON
   KARUGWE
   BOX 9283
   Dar es Salaam
   14 KEPHA NGAKONDA
   BOX 4361
   NJOMBE
   15 LITIGADES H. LYIMO
   BOX 361
   MOSHI
   16 PENDO M. KANANDA
   C/O MRS DESOLATA
   KAPOLI
   BOX 20592
   Dar es Salaam
   17 DICKSON M. TIBINOLA
   BOX (NOT SHOWN)
   IRINGA
   18 ZENA ELIMIO CHATILA
   BOX 61446
   Dar es Salaam
   19 MWANAIDI A. MGOLA
   BOX 23723
   Dar es Salaam
   20 OMBENNY KAMWELA
   BOX 842
   MBEYA
   21 AMETHA K. MWAPINGA
   C/O ERASTO MLELINA
   MUHIMBILI MOI
   BOX 65474
   Dar es Salaam
   22 BEATRICE L.
   MWAKALIKAMO
   BOX 213
   BAGAMOYO
   23 ELISHA J. MNGALE
   BOX 62977
   Dar es Salaam
   24 DINNA DISMAS
   MBAWALA
   BOX 30864
   KIBAHA
   25 MONICA MNDEME
   BOX 30023
   Dar es Salaam
   26 HADIJA S. NDOTO
   C/O A. MKOBA
   BOX 2039
   Dar es Salaam
   27 RAJABU R. GUMBO
   BOX 5033
   MOROGORO
   28 FRIDA N. MSUYA
   C/O JULIETH N.
   MSUYA
   BOX 35176
   Dar es Salaam
   29 EVERIGISTUS EVARIST
   C/O MAGRETH
   MACHUMU
   BOX 10000
   Dar es Salaam6
   9. KATIBU MAHSUSI I - MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19/01/2012
   Na. JINA
   1. JOHANA PAUL
   MUSHI,
   BOX 2629,
   Dar es Salaam
   10.SENIOR DRIVER - MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 KEVIN V. CHALE
   BOX 67347
   Dar es Salaam
   2 GWAKISA M. MAPULI
   BOX 110
   SHINYANGA
   3 YONA KAYUNI
   SABASABA STREET
   C/O ALEX MPANGALA
   BOX 9111
   Dar es Salaam
   4 SIMON S. LUANDA
   C/O HAIDA SILLA
   NGOGO
   BOX 13198
   Dar es Salaam
   5 MUSSA A. AKILI
   C/O ALFREDO DEDE
   BOX 3711
   Dar es Salaam
   6 SOSTHENES F. SHIJA
   BOX 80158
   Dar es Salaam
   7 GEORGE TIRUGANYA
   WAZIRI
   BOX 2849
   Dar es Salaam
   8 HAJI MIKIDADI OMARY
   BOX 2024
   ARUSHA
   9 CHRISTANTO C.
   MBENNA
   BOX 2849
   Dar es Salaam
   10 HAMISI ALLY
   MILONGO
   C/O DAMAS NUNGU
   BOMBAMBILI PARISH
   BOX 46
   SONGEA
   11 MASUNGA M. SAMWEL
   C/O JOYCE KASUKA
   BOX 104961
   Dar es Salaam
   12 MOSES S. MAGEHEMA
   C/O AUGUSTINO A.
   MWENDA
   BOX 23235
   Dar es Salaam
   11.PRINCIPAL COMPUTER TECHNICIAN - MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAN WORKS
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 PETER GABRIEL
   C/O ROBERT
   CHARULA,
   BOX 22287,
   Dar es Salaam
   2 ADAM BENJAMIN
   MAZOYA,
   BOX 105808,
   Dar es Salaam
   3 FLORIAN P KIMWAI,
   BOX 53042,
   Dar es Salaam
   4 ASYA BAKAR HAMAD,
   BOX 7740,
   Dar es Salaam
   5 BENSON MRAMBA,
   BOX 4582,
   Dar es Salaam
   6 MJUNI MGAWE,
   BOX 42948,
   Dar es Salaam
   7 ANWAR UVILLA,
   BOX 36754
   Dar es Salaam
   8 ESTER SAGO,
   BOX 11056,
   Dar es Salaam
   9 ALLEN C. NJAU,
   BOX 23314,
   Dar es Salaam7
   12.SENIOR EXAMINATION OFFICER I- MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORKS
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 SANKE SWIGA,
   BOX 516,
   TUKUYU.
   2 IBRAHIM ALLY,
   BOX 8915,
   Dar es Salaam
   3 KABONGO MADEKA
   RED,
   BOX 32656,
   Dar es Salaam
   4 JUSLAI CHESKO,
   BOX 11,
   MAKAMBAKO.
   5 DICKSON DAVID
   BUNDI,
   C/O ALEVANDER
   TEGEMEA,
   BOX 77052,
   6 ALLAN NTAWA,
   BUSINESS TIME
   LIMITED,
   BOX 381,
   TABORA.
   7 ELIZABETH S. J.
   MASHISHANGA,
   BOX 32966,
   Dar es Salaam
   8 EVALINA DAVID
   MABECHE,
   BOX 42712,
   Dar es Salaam
   9 JOEL BALISIDYA,
   C/O THORN INSURANCE
   LIMITED,
   BOX 4224,
   DODOMA,
   10 JOACHIM GEOFREY
   NAHENGA,
   BOX 35720,
   Dar es Salaam
   11 THOMAS ABDALLAH
   LABI ,
   BOS 47,
   DODOMA.
   12 ADAM BENEDICT
   SONDLO,
   BOX 38620,
   Dar es Salaam
   13 ISRAEL DAUD
   NGANDO,
   BOX 31107,
   Dar es Salaam
   14 FREDRICK M.
   SPOSPETER,
   BOX 62063,
   Dar es Salaam
   15 VENANCE SHORISAEL
   NDOSSI,
   BOX 128,
   LUSHOTO - TANGA.
   16 MARIAM KHATIBU
   CHAUREMBO,
   BOX 28,
   UTETE - RUFIJI.
   17 KHALID M. SELENGU,
   BOX 70378,
   Dar es Salaam
   18 KAZIMOTO PIUS
   ANSELM,
   BOX 78028,
   Dar es Salaam
   19 MARIA JOSEPH
   MLIGO,
   BOX 76,
   NJOMBE,
   20 MAYASA N.
   SHEMAGHEMBE,
   C/O SELOUS GAME
   RESERVES KASSIM
   CHANYIKA,
   BOX 25295,
   Dar es Salaam
   21 DASTAN NKANABO,
   BOX 5605,
   Dar es Salaam
   22 JOSEPH SIMON,
   BOX 55,
   ARUSHA.
   23 PETER HAULE,
   BOX 9445,
   Dar es Salaam
   24 MAIMUNA ABDALLAH,
   C/O KHADIJA
   MWINYIMBEGO,
   BOX 40009,
   Dar es Salaam
   13.SENIOR COMPUTER TECHNICIAN - MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na. JINA Na. JINA Na. JINA
   1 ALBERT
   MWAKIBOLWA
   BOX 70328
   Dar es Salaam
   2 PATRICK N. MARK
   BOX 12081
   ARUSHA
   3 PAUL WILLIAM AYO
   BOX 11856
   Dar es Salaam8
   4 PHANUEL
   EMMANUEL
   BOX 38546
   Dar es Salaam
   5 MWANAIDI MUSA
   MWAMBA
   BOX 13600
   Dar es Salaam
   6 FARHAN RAMJU
   HUSSEIN
   C/O MAKAME
   MOHAMED
   BOX 16100
   Dar es Salaam
   7 JAMILI R. CHEWE
   BOX 60557
   DSM Dar es Salaam
   8 PHARES MACHEE
   BOX 1219
   MUSOMA- MARA
   9 ERNEST MWINUKA
   BOX 7490
   Dar es Salaam
   10 KULUANI LUAMBO
   BOX 36425
   Dar es Salaam
   11 HARISON MMASI
   BOX 75585
   Dar es Salaam
   12 ZUHURA D. OMARY
   BOX 34597
   Dar es Salaam
   13 NASHON PETER
   BOX 113
   SHINYANGA
   14 DORIS SANGA
   BOX 35176
   Dar es Salaam
   15 GODFREY PETER
   C/O SIKWILAGE
   NG'WAVI
   BOX 165 MUHEZA
   TANGA
   16 LUCAS EDWARD
   BOX 29820 DSM
   17 MARWA SAMSON
   BOX 251 ARUSHA
   18 HAMIS SAID
   BOX 65196 DSM
   19 SALIM MOHAMED
   LOSINDILO
   BOX 474
   Dar es Salaam
   20 NEEMA BHALALUSESA
   BOX 35048
   Dar es Salaam
   21 HABIB M. MASHANA
   BOX 34014
   Dar es Salaam
   22 REUBEN MINAEL
   BOX 1451
   MOROGORO
   23 THEOFRID CARLO
   KIFARU
   BOX 13023
   Dar es Salaam
   24 ATHUMAN ANGOMWILE
   KAPANGE
   BOX 72719
   Dar es Salaam
   25 GLORIA ANYSISYE
   MWALUGAJA
   BOX 31498
   Dar es Salaam
   26 SHOMARY FIKIRI
   SALLA
   BOX 80301
   Dar es Salaam
   27 NZOJA SHAURI
   BOX 7202
   Dar es Salaam
   28 ASYA BAKAR HAMAD
   BOX 7740
   Dar es Salaam
   29 GEORGE RAPHAEL
   LAIZER
   BOX 4432
   Dar es Salaam
   30 ASHA MIRAJI
   BOX 1051 MTWARA
   31 SALIM ISSA NGOYO
   BOX 1130
   Dar es Salaam
   32 BENSON GEOPHREY
   MRAMBA
   BOX 4582 DSM
   BOX 1767
   TANGA
   33 DANIEL FRANK
   CHAROKIWA
   BOX 70446
   Dar es Salaam
   34 PROSPECTIVE
   PORPHANCE
   GIKANKA
   BOX 6596
   Dar es Salaam
   35 DAVID CLEMENT
   CHUWA
   BOX (PHONE NOT
   SHOWN)
   Dar es Salaam
   36 CHRISTOPHER
   FREDRICK KARATA
   BOX 76602
   Dar es Salaam
   37 JOHN L. MMASI
   BOX 987 BUKOBA
   38 SIXBERT SIMON
   BOX 79601
   Dar es Salaam
   39 JAY MTEY
   BOX 33012
   Dar es Salaam9
   40 MARTHA M. CHIZARA
   BOX 4520
   Dar es Salaam
   41 ABDURAHMAN T.
   SALAMA
   BOX 50119
   Dar es Salaam
   42 BOOKER MKOHOMMWE
   MASAMBAJI
   BOX 32228
   Dar es Salaam
   43 MWL. INYIKOMBO
   MWALIME
   BOX 5667
   Dar es Salaam
   44 MNIACHI A.
   MWANAHAMISI
   UNIVERSITY OF DAR
   ES SALAAM
   BOX 35047
   Dar es Salaam
   45 SELEMANI JUMA
   C/O MNYAMANI KUWA
   BOX 35169
   Dar es Salaam
   46 ABRAHIM L. WAGALA
   BOX 80291
   Dar es Salaam
   47 MISS JESSICA PETER
   C/O DORAH V.
   NYUNZUYE
   BOX 11146
   Dar es Salaam
   48 ELIMELICK MNDALAGE
   BOX 16687
   Dar es Salaam
   49 HASSAN HAMISI
   NDENGU
   BOX 2715
   Dar es Salaam
   50 RODRICK F. MERO
   BOX 90
   MZUMBE
   MOROGORO
   51 PAUL PETER
   BOX 105493
   Dar es Salaam
   52 MAGRETH WILFRED
   BOX 21352
   DSM
   "...........USISHAU ULIKOTOKA............''

  8. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 25,339
   Rep Power : 88801447
   Likes Received
   7583
   Likes Given
   13009

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   1. ASSISTANT LECTURER SOCIAL SCIENCE DISCIPLINE
   MWAJIRI: INSTITUTE OF SOCIAL WORK
   MAHALI: CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA MAGOGONI DAR ES SALAAM
   TAREHE: 19-20/01/2012
   Na.
   JINA
   Na.
   JINA
   Na.
   JINA
   1
   MIGY MUHENGA,
   BOX 42843,
   Dar es Salaam.
   2
   JEREMIAH E. MBEMBELA,
   BOX 18111,
   Dar es Salaam.
   3
   ZAINABU RASHID,
   BOX 18111,
   Dar es Salaam.
   4
   MWALIM O. HAJI,
   BOX 1229,
   ZANZIBAR.
   5
   MITULA, MKUMBO GODWIN,
   BOX 90245,
   Dar es Salaam.
   6
   BUKAGILE GODFREY,
   BOX 79886,
   Dar es Salaam.
   7
   SABBATH M. UROMI,
   BOX 174,
   TABORA.
   8
   AMINA A. S. CHIVI,
   BOX 540,
   DODOMA.
   9
   KANDURU H. ALLY,
   BOX 42701,
   Dar es Salaam.
   10
   MASAKIJA JOHN,
   C/O MRS, CHRISTOPHER ONJARE,
   BOX 25169,
   Dar es Salaam.
   11
   NDUMA B. GARI,
   C/O HALIMA MATANGE,
   BOX 5137,
   Dar es Salaam.
   12
   PETER MGAWE,
   BOX 23241,
   Dar es Salaam.
   13
   DAVID J. ISAYA,
   BOX 34429,
   Dar es Salaam.
   14
   JANUARY JOHN,
   BOX
   15
   ALPHONCE L. MAGAMBO,
   BOX 31890,
   Dar es Salaam.
   16
   RAPHAEL ASANTEMUNGU,
   C/O IRENE A. KOKO,
   BOX 35049,
   Dar es Salaam.
   JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

  9. KANJARA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th January 2012
   Posts : 16
   Rep Power : 506
   Likes Received
   7
   Likes Given
   2

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   hizi kazi zipo au geresha kunauwezekano watu walishapelekwa kama volunteer. Masela mlioitwa msisite koma nao mdhibitishe kuwa watoto wa wakulima ni noma . Waone haibu wenyewe kuwaacha watu wenye umahiri kama ninyi. Lakini pia mkipata wajomba msibweteke muwe chachu yakuleta mabadiliko si kuwa wanasiasa. Tekeleza majukumu yenye tija kwa taifa ambayo kwayo yatajenga taifa linalojitegemea.

  10. PrN-kazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 2,843
   Rep Power : 5616
   Likes Received
   398
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By KANJARA View Post
   hizi kazi zipo au geresha kunauwezekano watu walishapelekwa kama volunteer. Masela mlioitwa msisite koma nao mdhibitishe kuwa watoto wa wakulima ni noma . Waone haibu wenyewe kuwaacha watu wenye umahiri kama ninyi. Lakini pia mkipata wajomba msibweteke muwe chachu yakuleta mabadiliko si kuwa wanasiasa. Tekeleza majukumu yenye tija kwa taifa ambayo kwayo yatajenga taifa linalojitegemea.
   Mkubwa, hizi ni uhakika zipo: sasa hivi ISW wanafanya mambo mapya, wanataka Chuo kiwe na wahadhili na Staffs wanaoeleweka! Hivyo mlioitwa kwenye Usaili jiandae vizuri kwenye field zenu ili muweze kuonwa.

  11. valid statement's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th September 2011
   Posts : 2,589
   Rep Power : 1036
   Likes Received
   446
   Likes Given
   8

   Default Re: Kuitwa kwenye usaili

   kila la heri kwa walioitwa kwenye usaili huo.


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...