Wadau,nasikia wizara ya afya ina nafasi za Nutrition Officer katika baadhi ya wilaya,mwenye taarifa kamili naomba anijuze na kama ipo deadline ni lini? Pamoja JF
Wadau,nasikia wizara ya afya ina nafasi za Nutrition Officer katika baadhi ya wilaya,mwenye taarifa kamili naomba anijuze na kama ipo deadline ni lini? Pamoja JF
jaribu hapo http://www.moh.go.tz/ ingawa naona inamfua kidogo haifunguki
Jamani CCM hamshibi?Mnataka kula mpaka ukoko jamani?2015 byeeeeeeeeeee.
hiyo website inagoma kufunguka hii wiki ya pili...kama upo dar we nenda ukawaulize face to face
Sawa wadau!
Follow Us Here