JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 25
  1. #1
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

   Wakubwa,nikiwa ni mmoja wa wahanga wa loans board,pamoja na kadivision kangu kazuri niliko nako,nimeamua kujitafutia ajira huko kwenye hayo majeshi yetu,bora nikawe mlinzi wenu pamoja na mali zenu tu.tafadhalini sana kwa yeyote atakae sikia au kuona nafasi za kazi zinazohusiana na hapo juu asisite kunijuza at [email protected] sana


  2. #2
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   Kuwa na subira mkuu.

  3. McMoze's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd October 2011
   Posts : 49
   Rep Power : 523
   Likes Received
   6
   Likes Given
   2

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   nilidhani huwa wanapost ktk news papers mzee

  4. Mamndenyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 25,731
   Rep Power : 429502117
   Likes Received
   14710
   Likes Given
   30237

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   hata mimi nahitaji kwa ajili ya binti yangu anapenda maeneo hayo; naomba ushauri zaidi.
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  5. #5
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default

   Quote By Mamndenyi View Post
   hata mimi nahitaji kwa ajili ya binti yangu anapenda maeneo hayo; naomba ushauri zaidi.
   sio kwamba na yeye ni mhanga wa loans board?


  6. Mamndenyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 25,731
   Rep Power : 429502117
   Likes Received
   14710
   Likes Given
   30237

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   Quote By Senetor View Post
   sio kwamba na yeye ni mhanga wa loans board?
   Yeye bado, ndo amemaliza shule
   nataka ikiwezekana asogee huko then atafute chuo akiwa huko huko.
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  7. Losambo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Location : Katikati
   Posts : 2,621
   Rep Power : 1036
   Likes Received
   845
   Likes Given
   366

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   Dodo wala usipate wasiwasi wajeda wamejaa humu ndani na wanaJF ni ndugu wakijua watakujuza fasta.

  8. #8
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default

   Quote By Mamndenyi View Post
   Yeye bado, ndo amemaliza shule
   nataka ikiwezekana asogee huko then atafute chuo akiwa huko huko.
   kila la kheri mtoto wa mamndenyi.

  9. Sita Sita's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2008
   Location : Jamii Forums
   Posts : 1,181
   Rep Power : 915
   Likes Received
   178
   Likes Given
   525

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   Wakati unasubiri ajira panga mikakati ya kujiajiri iwapo utakosa ajira....
   If You Get Them by Their Balls,
   Their Minds and Hearts will Follow


  10. Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,193
   Rep Power : 2528
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default

   Quote By Sita Sita View Post
   Wakati unasubiri ajira panga mikakati ya kujiajiri iwapo utakosa ajira....
   mpe mtaji.

  11. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,736
   Rep Power : 3015
   Likes Received
   1136
   Likes Given
   52

   Default

   Atakuwa DFP
   Quote By Mamndenyi View Post
   hata mimi nahitaji kwa ajili ya binti yangu anapenda maeneo hayo; naomba ushauri zaidi.

  12. Narubongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 1,923
   Rep Power : 949
   Likes Received
   946
   Likes Given
   690

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji,police,magereza na jwtz zitatangazwa lini?

   Quote By Mamndenyi View Post
   Yeye bado, ndo amemaliza shule
   nataka ikiwezekana asogee huko then atafute chuo akiwa huko huko.
   ukishaingia huko kutoka a-level/o-level nafasi ya kuendelea na masomo ni ndogo sana na utanyayasika mpk... kuna watu ninaowafahamu waliingia huko miaka 7 iliyopita wakiwa div 1 a-level mpk leo hii wanasota hawajapelekwa chuo kama walivyoahidiwa mna wala hakuna dalili, mwache binti asome kwanza ataingia huko akishamaliza chuo
   "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

  13. Mhindih's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 14th March 2011
   Posts : 246
   Rep Power : 595
   Likes Received
   9
   Likes Given
   24

   Default

   Quote By Senetor View Post
   Kuwa na subira mkuu.
   We umekata tamaa?

  14. Mamndenyi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Location : Mafinga
   Posts : 25,731
   Rep Power : 429502117
   Likes Received
   14710
   Likes Given
   30237

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

   Asanteni kwa ushauri,
   kweli namwacha asome some zaidi ndo aje huko,
   kila la kheri wakuu wangu.
   SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

  15. fabinyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2011
   Posts : 2,042
   Rep Power : 995
   Likes Received
   439
   Likes Given
   296

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

   duh,kwa hiyo walio katika majeshi hayo ni wahanga wa loan board?nawajua wengine darasa la saba

  16. Mpatanishi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st July 2011
   Location : Kinondoni, Dar es salaam
   Posts : 1,672
   Rep Power : 3084669
   Likes Received
   312
   Likes Given
   73

   Default

   Quote By Mamndenyi View Post
   Asanteni kwa ushauri,
   kweli namwacha asome some zaidi ndo aje huko,
   kila la kheri wakuu wangu.
   afadhali,mana niliwahi kusikia kuna ngono za kulazimishwa huko mkubwa akitaka ni Amri tu. Ukikataa adhabu haziishi.

   Kuna mdau alitoka huko akaniambia kamwe hata kubali ndugu yake wa kike aende huko na sababu ndio hizo.
   Mwache binti asome

  17. #17
   kitau's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 19th December 2011
   Posts : 9
   Rep Power : 507
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

   ukitaka kuingia jeshi la uhamiaji ,polisi , magereza ni lazima uanzie jkt ukisha maliza mafunzo ya awali unaweza kubahatika kuajiriwa kwenye jieshi unalotaka
   kwani wenyewe wanapeleka idadi ya nafasi wanaotakiwa kuajiriwa huko jkt

  18. #18
   YEYE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2011
   Posts : 440
   Rep Power : 599
   Likes Received
   68
   Likes Given
   12

   Default

   Quote By kitau View Post
   ukitaka kuingia jeshi la uhamiaji ,polisi , magereza ni lazima uanzie jkt ukisha maliza mafunzo ya awali unaweza kubahatika kuajiriwa kwenye jieshi unalotaka
   kwani wenyewe wanapeleka idadi ya nafasi wanaotakiwa kuajiriwa huko jkt
   Umeanza lini huo utaratibu!?

  19. Tripo9's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2009
   Posts : 2,106
   Rep Power : 1046
   Likes Received
   398
   Likes Given
   722

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

   Nina mdogo wangu amemaliza darasa la saba. Umri miaka 28. Amesomea NIT Udereva ana class C plain na nyingine nyingine. Anapenda sana kuvaa magwanda ya jeshi. Naomben nami ushauri ktk hili, pia tujuzane nafasi zikitangazwa
   "Smile though your heart is aching"...Me says

  20. Makunga's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2011
   Posts : 230
   Rep Power : 552
   Likes Received
   43
   Likes Given
   156

   Default Re: Kazi idara ya uhamiaji, police, magereza na JWTZ zitatangazwa lini?

   Hata mimi jaman nahitaj sn lakini mm ni graduate,ila sijaelewa hapo kuhusu jkt ndo inakuwaje kwa intake zao.Nafasi zikitangazwa tujuzane wakuu.


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Nafasi za kazi Magereza,JWTZ na Polisi.
   By tizo1 in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 11
   Last Post: 19th August 2012, 19:03
  2. Nafasi za kazi uhamiaji zinatoka lini?
   By neyl in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 4
   Last Post: 1st December 2011, 13:06
  3. Ufisadi wa kutisha idara ya uhamiaji
   By rungulugujo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 3rd January 2011, 04:46
  4. Idara ya uhamiaji Tanzania!
   By Akili Unazo! in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 35
   Last Post: 21st December 2010, 14:42

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...