Show/Hide This

  Topic: Dawasa makao makuu dar........

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. Tody's vision's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th September 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 14
   Rep Power : 484
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Post Dawasa makao makuu dar........

   Wadau nimekuwa nikitafuta ofice za hawa jamaa kwa muda mrefu na kila nnaye muuliza ananielekeza DAWASCO Iliyoko posta ambao ni sehemu tu ya DAWASA ila cjafanikiwa kupata ofisi za DAWASA nackia wako KIJITONYAMA mwenye info zaidi plz nijuzeni ni muhimu sana


  2. #2
   mama D's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Posts : 1,693
   Rep Power : 10769
   Likes Received
   487
   Likes Given
   1420

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   Jukwaa, kichwa cha habari na maelezo yako nadhani sikuelewi
   unataka nini!?
   kazi??, office za dawasa?? au dawasa makao makuu???
   Women who seek to be equal with men lack ambition - Marilyn Monroe

  3. Tody's vision's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th September 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 14
   Rep Power : 484
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   Mahali zilipo office za dawasa

  4. Tody's vision's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th September 2011
   Location : Dar es salaam
   Posts : 14
   Rep Power : 484
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   Makao makuu yake kama ilivyo tanesco ni ubungo je dawasa ni wapi yalipo makao makuu ....?

  5. cheichei2010's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2010
   Posts : 889
   Rep Power : 709
   Likes Received
   321
   Likes Given
   66

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   Hili suala huwachanganya wengi.
   Dawasco sio kampuni ndogo ya DAWASA,hivi ni vitu viwili tofauti.Dawasco ni kampuni inayosimamia usambazaji maji jijini ,ilirithi mkataba wa CITY WATER.DAWASA ni Agency ya serikali inayowasimamia Dawasco.Ofisi za DAWASA ziko Mwananyamala Mkabala na Hospitali ya Mwananyamala ubavuni mwa ofisi za Ardhi za jiji pale mwananyamala.Ile njia ya lami inayotokezea Kinondoni kanisani kama sijakosea.Kwa wapenda shortcuts wanaijua.


  6. samora10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2010
   Location : Kwa-Gude
   Posts : 4,299
   Rep Power : 73230593
   Likes Received
   1183
   Likes Given
   1862

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   mwananyamala... mkabala la mwananyamala hospitali barabara ya lami inayokuja tokea huku biafra
   ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

  7. kasinge's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2011
   Posts : 536
   Rep Power : 604
   Likes Received
   106
   Likes Given
   173

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   Quote By samora10 View Post
   mwananyamala... mkabala la mwananyamala hospitali barabara ya lami inayokuja tokea huku biafra
   Makao makuu ni pale Moroko nyuma ya jengo la jipya la airtel. Ukifika ulizia wenyeji pale watakuonyesha..

  8. #8
   zombi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th May 2008
   Posts : 49
   Rep Power : 665
   Likes Received
   1
   Likes Given
   14

   Default Re: Dawasa makao makuu dar........

   si moroco, hiyo ya moroco ni DAWASCO kinondoni, DAWASA NI MWANANYAMALA
   Quote By kasinge View Post
   Makao makuu ni pale Moroko nyuma ya jengo la jipya la airtel. Ukifika ulizia wenyeji pale watakuonyesha..


  Similar Topics

  1. Makao makuu ya CHADEMA
   By Mla Mbivu in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 52
   Last Post: 1st December 2010, 00:09
  2. Kutoka CUF Makao Makuu...
   By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 19
   Last Post: 24th May 2009, 22:50
  3. Dodoma isiwe makao makuu
   By fmesanga in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 24th February 2009, 11:24
  4. Dodoma, Makao Makuu
   By Haika in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 3
   Last Post: 10th June 2008, 19:51

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...