Inanichanganya sana hebu wana JF NIFAFANULIEN mwajiri anapotangaza na kutoa sharti hilo ana maana gani?
Inanichanganya sana hebu wana JF NIFAFANULIEN mwajiri anapotangaza na kutoa sharti hilo ana maana gani?
Wana maana hawataki mafisadi hapo....vijana kibao mtaani wanahangaika, post ikitoka, badala ya kuchukua vijana baadhi ya taasisi vinachukua vizee viliexpire,...kisa expirience, sasa unafikiri mbadala wake nini ni?? piga chini waliostaafu kwa kigezo chochote kile, kiwe cha umri ama kashfa, huitajiki. Nadhan maelzo yanajitosheleza
GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!
NIMEKUPATA NDG![]()
Wewe huna akili kabisa..hivi kila mtu mwene utumishi mrefu kazini ni fisadi?? pambaf sako
Moola's the motive
Kwanza napingana kiasi fulani na hili suala la 'experience'. Kwa tafsiri nyingine ni watu wanaofanya kazi kwa mazoea na ndio yametufikisha hapa. Tunahitaji ideas mpya, na hatuwezi kuzipata kwa wastaafu.
Mpe hongera huyo mwajiri aliyekataa vibabu na watu wanaohama kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kunepanepa wkt wengine wako nje wanatafuta kazi.
"You know you are in Tanzania whenyour president believes traffic jam is anindicator of development!" Dr. Wilbrod Peter Slaa
Abdulhalim Huna tofauti na choo cha ma.vi kilichojaa!!By [B
GESI KWANZA KOROSHO BAADAE!!
mpaka sasa hivi nafanya kazi serikarini lakini ikitokea nikapata firm ya kuajili sitakubali kumuajiri mtu yeyote aliyewahi kufanya kazi serikarini hata kama ni mfagiaji tu! Kiukweli kuna wakati mwanangu akiniuliza kama naenda kazini simjibu,aibu...
Wanazuia watu walioacha kazi au kuachishwa au kustaafu kwa hiari au lazima kutoomba kazi hizo
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
Pole sana ila nahisi inategemea na position uliyonayo huko!!
Mimi pia nipo serikalini lakini nipo busy sana na shughuli za kazini lakini nikipata nafasi huwa naenda kwenye shughuli zangu binafsi, yaani nafanya kazi za consultancy,...... n.k kupata hela za ziada!!!! Na zinalipa sana. Hivyo nikienda kazini ni kweli nipo kazini!
Simplicity is the ultimate sophistication
Follow Us Here