Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ajira-wizara ya kilimo, chakula na ushirika - nafasi 574

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 22 of 22
    1. #1
      Kubingwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2010
      Location : Hapahapa
      Posts : 501
      Rep Power : 562
      Likes Received
      61
      Likes Given
      202

      Default Ajira-wizara ya kilimo, chakula na ushirika - nafasi 574

      WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza nafasi 574 za kazi katika fani mbalimbali zinazohusu sekta ya kilimo na idara zake.

      Nafasi hizo zinawalenga watu wenye sifa mbalimbali ikiwemo kuwa na umri usiozidi miaka 45 na elimu ya kuanzia Shahada moja na kuendelea kulingana na aina ya kazi.

      Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa kwa vyombo vya habari juzi na Ofisi ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo, waombaji wenye sifa wanapaswa kupeleka barua za maombi katika ofisi yake na wawe tayari kupangiwa kazi wizarani na ofisi za mikoani za Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

      Eneo lenye nafasi nyingi za ajira ni Ofisa Kilimo Daraja la II ambapo ajira 378 zitatolewa kwa waombaji wenye sifa za kuwa na Shahada ya Sayansi Kilimo na Mazingira, nafasi zote zikihitaji wahitimu kutoka katika vyuo vikuu vinavyotambulika na Serikali.

      Aidha, ajira 70 zitatolewa kwa Ofisa Utafiti Kilimo Daraja la II ambapo waombaji wanapaswa kuwa na Shahada ya Kilimo, Uchumi Kilimo, Uhandisi Kilimo, Sayansi ya Chakula na Teknolojia, Sayansi ya Viumbehai na Maabara, Udongo na Mazao (Agronomy), Mazingira na Mazao ya Bustani na Maua.

      Nafasi nyingine 88 ni katika Uhandisi Kilimo Daraja la II na kwa mujibu wa tangazo hilo, waombaji wawe na shahada ya Uhandisi yenye mwelekeo mkubwa katika fani ya kilimo, umwagiliaji, ujenzi, ufundi na mazingira.

      Ajira 38 ni za Mkufunzi Kilimo Daraja la II ambapo waombaji watapangiwa kuwa wakufunzi katika vyuo vya kilimo na mifugo vilivyo chini ya Wizara ya Kilimo na ile ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na wanahitajika watu wenye Shahada katika kilimo kutoa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) au kingine kinachotambulika na Serikali.

      Kwa mujibu wa taarifa ya wizara, waombaji wanapaswa kupeleka barua zao siku 14 kuanzia taarifa ilipotolewa katika vyombo vya habari.


      source: Habari leo 10.11.2011
      Mosha Lutgard likes this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Blessingme's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 184
      Rep Power : 447
      Likes Received
      22
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By tindikalikali
      we mgavi wa wapi? UDSM au?
      no mucobize!

    4. #22
      King Kong III's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Enaboishu-Umenyeni
      Posts : 11,927
      Rep Power : 5064
      Likes Received
      3203
      Likes Given
      2661

      Default Re: Ajira-wizara ya kilimo, chakula na ushirika - nafasi 574

      Hizo ni kwa ajili ya watu wa sua na mati tu.

    5. Miaka 50
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. kazi za wizara ya kilimo
      By nyau wawili in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 2
      Last Post: 20th September 2011, 22:42
    2. Ndassa kupinga Bajeti ya Kilimo, Chakula na Ushirika
      By GHOST RYDER in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 8
      Last Post: 26th July 2011, 08:38
    3. Ufisadi waitikisa Wizara ya Kilimo
      By sitakuwafisadi in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 1
      Last Post: 22nd March 2011, 14:29
    4. Bajeti ya wizara ya kilimo na chakula inajadiliwa
      By chuku in forum Matangazo madogo
      Replies: 0
      Last Post: 21st July 2009, 11:49
    5. Replies: 0
      Last Post: 26th October 2008, 13:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...