Wana jf, nauliza kama kuna mtu mwenye info zozote za takukuru, mchakato wa kurecruit huwa wanatangaza, mwaka huu wanaanza kurecruit lini? naomba kuwasilisha.