Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!
Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.
@likwamba,
mimi nijuavyo maisha ya technohama no free na pia you supposed to pay each service unayo access kwa wakati huo.kama ameweza sign in kwenye blog,facebook,yahoo na myspace huyo anaweza mudu gharama za kucheki hizo link hata mia moja.
Mimi naomba muendelee na mnavyofanya na sio mtu mmoja anataka kufanya chombo kama chake.kama hawezi kubrowse basi aende cafe kwa maana gharama zinautofauti wa sh 100 au 50 tuu.so Mtafuta hachoki na akichoka ujue huyo hakuwa ametafuta au ameshapata.
*Technology is very expensive that people think.....kama atataka simu iweze kuwa na color nzuri na web browser lazima iweze meet technical specification means itamlazimu anunue simu zenye viwango au la awe mtu wa cafe.
Nawapa sana big up wenye blog hii kwa ku post hizi nafasi.kwa mimi nashukurubmaana nikiona simu haiwezi fungua link basi nitatoa 1000(ya dubai) ili nikacheki cafe au kumwomba wenye pc acheki na hapo ndo utakapojua unamarafiki wa namna gani.
wewe Mama,
umesoma chuo miaka mingapi wewe?nasikitika maana naona hata ukipata kazi bado utakuwa na mawazo finyu.
Fikiria hivi ingekuwa Vipi JF isingekuwepo leo hii?Je hizo link au matangazo ya kazi ungekuwa wapata wapi?
Kwa mawazo yako madogo unadhani makampuni ya simu yatakugawia service free????inaingia akilini?
Je humu kwenye hii JF mpaka unapost malawama huoni kama unapoteza muda na ungetumi nafasi hii ku google upate nafazi za kazi?
Think twice wewe mamaharaka.
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!
Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.
Inakera unakuta tangazo la kazi, unafungua unakutana na link, hebu jiulize wewe unaeweka link mtu mwenye simu ndogo ataweza kuifungua kweli wakati mi-blogs yenu inatafuna mi-kb! Au mnataka tujue mnamiliki blogs!
Fanyeni copy & paste (MFANO MAX MELO) then kwa kutia naskshi unasema "for more info" then unatupia link.
Badilikeni jamani.......mjini shule!
tena ukizingatia hapa mnatangaza bure bila malipo ni vizuri kutoa maelezo yanayojitosheleza
Thinking is the hardest work there is,which is probably the reason why so few engage in it!!
Hauna hoja kaka,hayo ni matatzo yako binafs na sio ya jamii nzima do u know kwamba jf ni kwa ,maslahi nya jamii yote na siyo wewe kama wewe.hebu ona wanajamii walivokudis na hiyo hoja yako.jipange upya mzee
Ndugu yangu sijui hata unacholalamikia ni nini?
Kuwa na shukrani mtu anakupa njia wewe ndio unapaswa kufuata hyo njia sasa ww unataka utafuniwe umeze tu.
Ndiyo maana huyo jamaa hapati kazi. upata kazi unahitaji kujibidisha jomba!!!
Kweli watanzania ni wavivu yani mimi nikuwekee link ya kazi unataka mpa nitoohe??wekweli akili yako inahitaji msaada wa ziada au upewe redbull kuiboost mfano huu hapa UNDP in Tanzania -Vacancies and Consultancies subiri nitakuwekea nitakukopia na kukupestia!!
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Tatizo tu ni Ruga zitumikazo nawashukuruni sana mnaotoa matangazo yenu hapa mnatusaidia sana japo kazi kupatikana ni ngumu hata kama unamasivi kibao mi naona hata kama una uwezo mpana asiyekujua hakujui kabisa. Ni kweli kwamba mashwala ya matumizi ya simu za mkononi kufungua Link au kutofungua ni utaharamu unaotakiwa kuwa nao au ukiona vipi ni vyema kuomba msaada kwenye Cafe au kulipa gharama apate msaada.
Pia ushauri mi sidhani kama Elimu kubwa ndio Uadirifu na Ueledi kazini au Kingereza kilichonyooka tena cha kuongea kama ndio uchapakazi na uadirifu katika kazi hivyo jaribuni kuliangalia kwa undani zaidi wanaachwa watu wenye sifa nyingi kasoro moja wanawachukua watu wenye sifa moja ya kingereza na uku mengine mabomu Naomba nisijibiwe matusi kama la kujibu huna basi kaa kimya.
Follow Us Here