Re: Mwongozo wa utumishi wa umma.
[QUOTE=Chingaboy;2547255]

By
Apta Kayla
Mkuu waraka wa RECATEGORIZATION umebadilishwa kwa Waraka Na. 5{not so sure} but ni wa tarehe 1 Desemba 2009, mtumishi yeyote anapojiendeleza kada tofauti, anaweza kuajiriwa kwenye kada hiyo mpya kama mwajiriwa mpya na ataanza na mshahara wa kuingilia 'entry point' katika kada hiyo. Atahesabika kama mwajiriwa mpya na atapoteza haki zake zote katika kazi ya mwanzo yaan seniority yake na mshahara wake wa awali. So kama daktari anaajiriwa kwa Mshahara wa kuanzia let say lak5, na mwalin ni kweli waraka unaouzungumzia nimewahi kuona kwamba wanaosoma nje ya fani waombe likizo bila malipo
vile vile atatakiwa kufanyiwa usaili upya kwa kada hiyo mpya
"Mwanzo 9:6. Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu."
Follow Us Here