Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwongozo wa utumishi wa umma.

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 24 of 24
    1. #1
      Ndebile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2011
      Posts : 1,232
      Rep Power : 670
      Likes Received
      253
      Likes Given
      45

      Default Mwongozo wa utumishi wa umma.

      wanaJF nisaidie sheria za kazi zinasemaje kuhusu mtumishi wa umma anayeenda kusomea kada tofauti na ile aliyoajiriwa nayo? mf.niliajiliwa kama mwalimu nina miaka 8 kazini na nimejiendeleza kwenye evening class nikafikia vigezo vya kusomea Udaktari MD,mwajiri yaani serikari atanilipia masomo?mshahara wangu wa ualimu nitaendelea kupata wakati ninasoma?nikimaliza masomo nitaomba kuajiliwa upya au nitaamishwa tu kwenda department nyingine? Naomba msaada japo kidogo tu,nawasilishaj.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Madcheda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th February 2009
      Posts : 363
      Rep Power : 595
      Likes Received
      26
      Likes Given
      0

      Default Re: Mwongozo wa utumishi wa umma.

      Hongera sana,hapo unaomba kupangiwa kazi ya fani yako baada ya kuhitimu,me ofcn kwetu kuna mtu alikua mlinzi akasoma acc kwa ngazi ya adv dip saiv ni auditor

    4. SG8
      #22
      SG8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Location : DSM
      Posts : 2,566
      Rep Power : 4180
      Likes Received
      772
      Likes Given
      730

      Default Re: Mwongozo wa utumishi wa umma.

      Quote By mbasamwoga
      Kweli jf tunatisha kwa knowledge anuwai. kaka gerrad kwanini waajili wengine hawabadili increment za mshahara kwa wakati?

      yaani ni vigezo gani vinatumika kupandisha madaraja ya mshahara?? Are they open ???
      Increment na madaraja ni vitu viwili tofauti. Increment ni nyongeza ya kila mwaka yaani kila tarehe 1 Julai unatoka ngazi kidato kimoja kwenda kingine mfano TGTS C1 kwenda TGTS C 2. Hii hufanyika kama hakuna nyongeza ya mshahara. Kupandfisa daraja (Promotion) ni kutoka level/ ngazi moja ya mshahara kwenda nyingine mfano kutoka Afisa Elimu Msaidizi III (AEMIII) TGTS C kwenda AEMII TGTS D. Hii ni kati ya miaka mitatu hadi mitano tangu uanze kazi au last promotion.
      Sababu zinazochelewesha kuanda daraja zipo nyingi mfano kutokuwa na TSD Na, kuchelewesha vyeti/ kujaza mikataba ya ajira, kuhama toka wilaya moja kwenda nyingine hivyo kupoteza taarifa, kutokuwepo kwenye mapendekezo ya mwajiri, matatizo ya kinidhamu kama utoro n.k, poor performance, uzembe wa ofisi kutotunza kumbukumbu, uhaba wa bajeti (kasungura kadogo) na nyingine zinazofanana na hizo. Lakini unatakiwa kupewa promotion si zaidi ya miaka mitano
      "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"

    5. SG8
      #23
      SG8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Location : DSM
      Posts : 2,566
      Rep Power : 4180
      Likes Received
      772
      Likes Given
      730

      Default Re: Mwongozo wa utumishi wa umma.

      Quote By Laurence
      Hapo hapo mkuu Gerrad inabidi uendelee kutupatia somo zaidi,mfano mimi nimeajiriwa mwl wa cheti mwaka 2006 na juzi tu nimemaliza BA ed na juzi mwezi wa 7 ndio nmepata first appointment na zaidi nmeomba ajira mpya,je unanishauri nn kwamba nienda ajira mpya au niandike barua kwa mwajiri wangu? Na zaidi nahofu je kweli watanihamisha pale nlipokuwepo awali na kwenda sehem nyingine? Nishauri mkuu maana naambiwa wakuu wapo Moro wanapangia watu Mikoa,natanguliza shukrani
      Wewe kama una transcript kimbia haraka sana kakabidhi kwa Mwajir wako kwani nina uhakika hujafikia TGTS D so ukipeleka mara moja unabadilishwa kuwa Afisa Elimu II. Pia utapelekwa sekondari kwani kwa sasa hairuhusiwi Mwalimu mwenye shahada kufundisha huko msingi. Ukiomba Mkoa mwingine utapoteza haki zako zote PSPF na kila kitu kwani utaanza upya na by the way jina lako lazima litaonekana kwenye database ya wizara kwamba wewe ni mwajiriwa tayari
      "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"

    6. #24
      kilimasera's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Posts : 3,039
      Rep Power : 1098
      Likes Received
      184
      Likes Given
      247

      Default Re: Mwongozo wa utumishi wa umma.

      GERRAD mimi nimemaliza MASTERS YA MANAGEMENT NINA BACHELOR PIA YA MANAGEMENT NIMESPECIALIZE KWENYE ORGANIZATIONAL MANAGEMENT NA HUKO NYUMA NILIKUA MWALIMU NA SASA NILIFANYIWA RECATEGOLIZATION NA KUA AFISA UTUMISHI NINA MWAKA TOKA NIPATE CHEO HIKI SASA NINACHOOMBA KUJUA ILI NIWE MKUU WA IDARA NATAKIWA NIWE NA UZOEFU WA MIAKA MINGAPI INGAWA HIYO AJIRA YA UALIMU NILIITUMIKIA KWA MIAKA 12
      God doesn't require us to succeed; he only requires that you try

    7. RukaaJuu Final
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Nigeria na mishahara utumishi wa umma.
      By Kubingwa in forum International Forum
      Replies: 3
      Last Post: 3rd November 2011, 18:06
    2. Waraka wa utumishi wa umma
      By Nguchiro in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 0
      Last Post: 20th October 2011, 21:13
    3. Utumishi wa umma kada za afya ni
      By Seto in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 5th March 2011, 11:35
    4. Programu ya Kuboresha Utumishi wa Umma
      By Morani75 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 29th January 2008, 08:29

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...