hivi jamani wana jamii kuna anayejua details za kazi za wizara mana kuna tetesi huku mitaani kuwa mwaka huu watatoa ajira kwa wote wenye digrii waliomaliza vyuo vya kilimo kama wafanyavyo kwa wale wa diploma
!

amana kaka watatoa tu pinda kasema mi mwenyewe niliskia bungeni
WE kuwa mvumilive bwanaaa.
Follow Us Here