Wadau nataka kujiunga na jeshi na cjui nianzie wapi na nielekee wapi na kwa nani. m2 yeyote mwenye kujua taratibu za kujiunga na jeshi na zinapatikana wapi taarifa zao tafadhali tujuzane. mimi ni muhitimu wa chuo kikuku taaluma ya mifumo ya cmputer
Wadau nataka kujiunga na jeshi na cjui nianzie wapi na nielekee wapi na kwa nani. m2 yeyote mwenye kujua taratibu za kujiunga na jeshi na zinapatikana wapi taarifa zao tafadhali tujuzane. mimi ni muhitimu wa chuo kikuku taaluma ya mifumo ya cmputer
anza kukimbia kuanzia mwenge hadi kunduchi tegeta kwenye kambi yao ukifika huko tayari umefaulu interview mradi uwe na shahidi wako tu!!
acheni utani namanisha ajira na c wendawazimu huwezi kukimbia tu na shaidi wako ilo c jeshi la leo na haliwezi kuitwa jeshi la wananchi wa tanzainia
vp una uwezo wa kutembea kwa miguu umbali wa km500 hku ukiwa na mzigo wa tani 2 kichwani?
kijana wewe fuatilia matangazo kwenye tv, redio au kama una rafki yako asikali akuangalizie matangazo kwenye mbao zao za matangazo, interview yao ni vyeti vyako kama c feki, afya yako, lazma upimwe nyote kijana hakuna jinc hapo, then kingne kama wewe n mwanaume rijali, interview yao ndo iyo, inafanyikiaga kwenye kambi yao ya kunduchi. nadhani umenipata kijana, ila ajila inakuwaga kuanzia mwezi wa kumi, kumi na moja, mbili na kuendelea, tena wewe utaanza na nyota moja.
Kazi ya jeshi yakuhitaji kugangamala
sijapenda jinsi watu mlivyo na maelekezo yasio na kichwa wala mguu..et akimbie mpaka kunduchi..unaumwa nini...
fuatilia makao makuu ya jeshi kujua lini kuna nafasi na kama una profession yako tayari maisha rahisi...
JF bwana hata mimi nachoka kabisa mimi nakushahuri nenda makao makuu ya jeshi pale upanga kaulizie lakini kama vipi unaweza ukaenda katika ofisi za wilaya kwa mkufunzi wa mgambo wanakuwa na taarifa nilini wana recruit.
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Mkuu kwa sasa ajira za wataalamu hazijatangazwa kwa hiyo endelea kusubiri..ila kiukweli lazima uwe mzima kiafya na uwe na uwezo mkubwa wa kuhimili mshike mshike wa jeshi ikiwemo kutokulala kwa mwezi mmoja na nusu...menginenyo ni kawaida kwa mwanaume...
...huwa wanatangaza hivyo kuwa makini na media zote
jamani utani siyo mzuri sometimes.
Jaribu kutafuta mjeda mwenye cheo kikubwa hivi akufanyie huo mchongo,wao wanajua michongo yote
Komaa kijana, kila kitu huwa kinawekwa wazi kukiwa na nafasi hvo jitahid kuwa karibu na vyanzo vya habari
Wadau nawakubali kwa mawozo yenu mazuri nitayafanyia kazi lkn mwenye ndugu huko matesoni tujuzane ili tusadiadiane maisha magumu mtaani bora yakawe magumu porini au vitani na c kijiweni
Jitahidi kuwaulizia wenyeviti wa mitaa or afisa mtendaji pia jaribu kwenda kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya huwa wanaweka matangzo na ulizia hata kwa wanajeshi wenye vyeo watakusaidia kaka na utafanikiwa tu.
JWTZ kwa wadau wanaotaka kwenda JWTZ nyepesi kwa proffesional yaani waliomaliza degree nasikia ni mwezi wa kwanza mwanzoni au wa pili mwanzoni so tupeane information
Follow Us Here