Naomba mnifaamishi jinsi ya kupata kazi katika makampuni haya mawili kama una diploma ya manunuzi na usambazaji.asanteni
Naomba mnifaamishi jinsi ya kupata kazi katika makampuni haya mawili kama una diploma ya manunuzi na usambazaji.asanteni
Cheki na Mwamvita Makamba
Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Cjawahi kuona matangazo kutoka katika hizo kampuni cjui wanatumia criteria gani kuajiri.
Hata mimi sijawai kusikia wakitangaza nafasi za kazi
Kazi nyingi wanazotangaza ni internal advertisement ambayo sasa inategemea kama kuna mtu anakufahamu una sifa ambaye yuko ndani tayari ya kampuni anaweza kukupenyezea hizo information na wewe waweza peleka cv kama wataipenda watakuita kwa ajili ya interview.
Open your eyes, look within. Are you satisfied with the life you're living?-Bob Marley
cheki na eurolink reqruitment agent wa voda kwa call centre staff ipo mitaa ya morocco pale kinondoni
huh kumbe ni uncl dan ungekua bibie unapiga tu mek up then ukifika tu pale basi ushapata kazi
Jinsi ya kupata kazi vodacom,nijuavyo mimi:unapelea cv kwa specialist recruitment mfano kwa hapa dar unapeleka CV yako pale EROLINK,baada ya kuipitia wao wanakupigia simu,then wanakupa intavyuu kulingana na voda,intavyuu ya kwanza ni mtihan ambao ni general knowledge,then wanakupa test ya kompyuta,kama utafuzu baada ya wiki wanakupigia simu kwa oral intavyuu,then wanapeleka majina vodacom kwa waliopita kula nako kuna training na intavyuu nyingine,ukuqualify wanakuajiri
Imbombo ngafu bora niendelee na mibizness yangu haya mambo ya kuajiriwa ni kupotezeana mida tu.........process zote hizo utafikiri unahajiriwa na cia????? Khaaaaaaa
M4C with No Apology
hawa jamaa kazi zao nyingi wana outsource
Hata mwamvita makamba walimfanyia interview za namna hiyo?
Follow Us Here