Wale wadau waliofanya interview tarehe 11 na 12 July kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya Ajira za utumishi wa umma, majibu yametoka na wajionee wenyewe hapa au kama una ndugu yako amebahatika basi umjulishe.
Wale wadau waliofanya interview tarehe 11 na 12 July kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya Ajira za utumishi wa umma, majibu yametoka na wajionee wenyewe hapa au kama una ndugu yako amebahatika basi umjulishe.
Huwezi kumshawishi nyani mzee kwamba asali ni tamu kuliko ndizi mbivu.
Thanks kwa taarifa.
Wengne simu zetu hazisomi pdf jamani. Tusaidieni
Tunashukuru kwa taarifa mkuu, tuzd kujuzana kadri iwezekanavyo. All da best kwa waliochaguliwa. Thx
Asante sana mkuu
'"PROBLEMS CAN BE SOLVED AT THE SAME LEVEL OF AWARENESS THAT CREATED THEM'"
Kumb. Na. EA.7/96/01/A/30 15 Agosti, 2011OFISI YA RAISSEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 11 hadi 12 Julai, 2011kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.KUITWA KAZINI
Na. MAMLAKA YA AJIRA TAALUMA/KADA MAJINA YA WANAOITWA KAZINI 1 LAW SCHOOL OF TANZANIASENIOR LECTURER 1. GABRIEL S. MNYELE LECTURER 1.EDWARD P. CHUWA
2.KISAKISA KIWARAASSISTANT LECTURER 1.IMAN BARAKA KADUMA
2.EMIL D.J. LUKIKO 2 GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCYCHEMIST II 1.JEHOVA F. MGONJA
2.HOSEA A. HOSEA
3.KAGERA Z. NGWEISHEMI
4.KAIJUNGA T. BRASSYCHEMICAL LABORATORY TECHNOLOGIST 1.DIDAT S. KAMAZE
2.ROBERT SID NDIMBE
3.ANTHONY A. MBALUKA
4.HARID SAID
5.AMOUR SULEIMAN 3 EASTERN AFRICA STATISTICAL TRAINING CENTREASSISTANT LECTURER (STATISTICS) 1.PATRICK K. MWANAKATWE
2.ZAINAB HASSANTUTORIAL ASSISTANT (MATHEMATICS) 1.JOHN M. BUZZA 4 MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGEENGINEER TRAINEE (ELECTRICAL) 1.JOSEPH MWITA
2.HENRY R. KURWASTATISTICIAN II 1.NASIB ELIAS HUMAN RESOURCES OFFICER 1.MGESI JUMA MACHERA SUPPLIES OFFICER II 1.GAUDENCE TEMBA WEBMASTER 1.EMMANUEL T. MBWAMBO SYSTEM ADMINISTRATOR 1.VICTOR JUSTICE
2.NSHABIMANA CHAMGOBANETWORK ADMINISTRATOR 1.CHRISTOPHER C. MTOVE ASSISTANT MASHALLER 1.ZANABIUS MWIMBA
2.HAMIS A. SHEMWETA
3.DENIS KINYANGA
4.CHRISTOPHER P. NYALUSI
5.JAPHET C. MTOKA
6.JAMES P. MBWIMBO
7.BEDA MMBANDO
8.JEFF W. SHANTIWA
9.FADHILI MEENA
10. CHARLES ALOYCE COSMASX. M. DaudiKATIBU
NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo:
www.utumishi.go.tzna www.pmoralg.go.tz
sengwili
Wale ambao cmu hazisomi nunueni moderm,ili muwe upated.
Waliopata kazi msisahau wadau wengine ambao hawana kazi.
Mmelonga kweli haswa,bila hvyo feedback itakuwa loose
hongereni mliopata kaz mpya
Lini watatoa majibu ya interview iliofanyika tar 30 march ya NIDA?.
NIDA tayali mkuu,watu wako vitengoni..washapelekwa training ya kufa mtu na saiz washanza na kazi!wameanza kutengeneza vitambulsho vya uraia kwa wafanyakaz wa umma ambao data zao n rahs..so vijana wako mzgoni
Follow Us Here