JamiiSMS
Show/Hide This

Topic: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Report Post
Results 1 to 16 of 16
1. Chloe O'brian's Avatar
Member Array
Join Date : 22nd December 2010
Location : CTU
Posts : 41
Rep Power : 517
Likes Received
10
Likes Given
3

Lightbulb Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

HELLO J.F,

CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM), WAMETANGAZA NAFASI NYINGI SANA ZA KAZI KWA ADMINISTRATIVE STAFFS.

SOURCE NI GAZETI LA DAILY NEWS TAR. 27 JULY 2011.

DEADLINE NI TAR 10. AUGUST 2011.

BOFYA LINK IFUATAYO KWA NAFASI HIZO:

ADVERTISEMENTS BLOG: UNIVERSITY OF DODOMA EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
I'm nobody, I'm just Chloe O'Brian.

2. Kwamex's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th April 2011
Location : Domir
Posts : 378
Rep Power : 568
Likes Received
89
Likes Given
24

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Safi mkuu, hivi mawarden udom take home wanaondoka na ka sh. ngapi?

3. mikatabafeki's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 29th December 2010
Posts : 5,405
Rep Power : 1593
Likes Received
921
Likes Given
1485

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

ahsane mkuuuu

4. THE GEEK's Avatar
Member Array
Join Date : 10th December 2010
Posts : 90
Rep Power : 533
Likes Received
30
Likes Given
4

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Quote By kwamex View Post
safi mkuu, hivi mawarden udom take home wanaondoka na ka sh. Ngapi?
kama laki 7 hivi
zumbemkuu likes this.
THOSE WHO MAKE PEACEFUL REVOLUTION IMPOSSIBLE,
MAKE VIOLENT REVOLUTION INEVITABLE.

5. ZIPOMPAPOMPA's Avatar
Member Array
Join Date : 29th November 2010
Posts : 50
Rep Power : 522
Likes Received
10
Likes Given
3

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Thanks mkuu...
WHO JAH BLESS, NO MAN CURSE

6. Kwamex's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th April 2011
Location : Domir
Posts : 378
Rep Power : 568
Likes Received
89
Likes Given
24

Default

Quote By THE GEEK View Post
kama laki 7 hivi

Thanx kiongozi.

7. Pilitoni's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 11th July 2011
Posts : 823
Rep Power : 2294
Likes Received
94
Likes Given
0

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Mimi nina sifa ila Udom siombi!Udom ni chuo cha kizushi,michakato yao ya ajira haieleweki na ni ya ovyo kabisa.Mtu unaomba una sifa kabisa,huitwi hata kwenye interview.Mpeane hizo kazi wenyewe.

8. Money Maker's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 11th July 2011
Location : Sitges!
Posts : 148
Rep Power : 509
Likes Received
28
Likes Given
9

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Ngoja nikaombe u-TA ili nipate access ya kuwamega mabinti wazuri
The only likes this.

9. Mwana va Mutwa's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 9th June 2009
Posts : 407
Rep Power : 670
Likes Received
13
Likes Given
9

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Quote By Nzenga kaya View Post
Mimi nina sifa ila Udom siombi!Udom ni chuo cha kizushi,michakato yao ya ajira haieleweki na ni ya ovyo kabisa.Mtu unaomba una sifa kabisa,huitwi hata kwenye interview.Mpeane hizo kazi wenyewe.
mkuu acha kuwakatisha watu tamaa, au ndio style yako ya kupunguza washindani?watu tutaomba tu
zumbemkuu likes this.
kufa kwa kiu baharini ni ujinga

10. zumbemkuu's Avatar
JF Bronze Member Array
Join Date : 11th September 2010
Location : street dweller
Posts : 7,919
Rep Power : 11616606
Likes Received
3487
Likes Given
11623

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Quote By the geek View Post
kama laki 7 hivi
na estate officers?
''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley

11. zumbemkuu's Avatar
JF Bronze Member Array
Join Date : 11th September 2010
Location : street dweller
Posts : 7,919
Rep Power : 11616606
Likes Received
3487
Likes Given
11623

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Quote By money maker View Post
ngoja nikaombe u-ta ili nipate access ya kuwamega mabinti wazuri
aisee hutapata hiyo kazi, mrudie MUNGU wako! Tuna wadogo zetu wengi tu kule wametoka shule za kata, looh!
''Overcome the devils with a thing called love'' bob marley

12. Ngaliba Dume's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 6th October 2010
Posts : 991
Rep Power : 718
Likes Received
459
Likes Given
19

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Udom,ubacishaji,majungu lukuki..udin sana!kuna mama anaitwa Mama Salisali...duh n balaa!kwa vijana wadogo naoanza maisha n mahali pazur pa kuanzia!

13. Tonny's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 13th September 2010
Posts : 217
Rep Power : 566
Likes Received
39
Likes Given
21

Default

Quote By Ngaliba Dume View Post
Udom,ubacishaji,majungu lukuki..udin sana!kuna mama anaitwa Mama Sawasawa...duh n balaa!kwa vijana wadogo naoanza maisha n mahali pazur pa kuanzia!

14. Ngaliba Dume's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 6th October 2010
Posts : 991
Rep Power : 718
Likes Received
459
Likes Given
19

Default

Quote By Tonny View Post

15. Ukwaju's Avatar
JF Gold Member Array
Join Date : 20th October 2010
Location : Dodoma
Posts : 5,841
Rep Power : 5525277
Likes Received
1367
Likes Given
1853

Default Re: Nafasi za kazi nyingi sana university of dodoma (udom)

Du hata mm nimeziona lakini mbona mnatutisha huyo mama salisali anagawa na faranga au kavukavu, mm hata nikikosa kz nitamvaa tu na silaha.
naona sasa Chuo kitakuwa na nidhamu, kijiondoe kwenye siasa

16. Tonny's Avatar
Senior Member Array
Join Date : 13th September 2010
Posts : 217
Rep Power : 566
Likes Received
39
Likes Given
21

Default

Quote By Ngaliba Dume View Post

anaitwa mama sawasawa mkubwa

Similar Topics

1. Nafasi za Kazi Nyingi Nelson Mandela University Arusha na Tigo Rwanda
By kamakana in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 0
Last Post: 9th December 2011, 15:21
2. Nafasi nyingi zingine za Kazi
By hummer in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 0
Last Post: 28th October 2011, 16:03
3. Nafasi nyingi za kazi Chuo cha Mipango Dodoma (Mwananchi 27 Agosti)
By Bavuvi in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 10
Last Post: 3rd September 2011, 18:22
4. Ziada ya nafasi nyingi za kazi
By Baba Mtu in forum Nafasi za Kazi na Tenda
Replies: 6
Last Post: 18th October 2010, 13:10

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...