Wakuu naombeni kujua kiwango cha mishahara tanzania kwa scale zilizowekwa. Kwa mfano:
TGS A, B, C, D, E, F ... etc.
VILE VILE:
PHTS 9, 10, 11, 12, 13 ... etc.
Na kama kuna nyingine zinazotumiwa na taasisi mbali mbali za serikali ya tanzania.
Wakuu naombeni kujua kiwango cha mishahara tanzania kwa scale zilizowekwa. Kwa mfano:
TGS A, B, C, D, E, F ... etc.
VILE VILE:
PHTS 9, 10, 11, 12, 13 ... etc.
Na kama kuna nyingine zinazotumiwa na taasisi mbali mbali za serikali ya tanzania.
We, huogop? Hzo nyaraka za sirikali...
Walimu wana TGTS A B C D E HADI X.
I have always been wondering...hivi hakunaga document labda inayochapishwa na wizara ya mambo ya ndani inayoelezea ivi vitu??! av bin looking for them desperately..
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
mkuu zipo, ila ni kuwa zimeandikwa neno CONFIDENTIAL tena kwa herufi kubwa bolded, hata hapa nilipo naiona mezani apa ila ni kinyume na maadili ya kazi kuzitoa. Kama una ndugu wa karibu ofsini kwa serikali, mwambie akuombee kwa mhasibu hata wa wilaya atakusaidia kujua mshahara ila si kukupa document.
ONE OF THE PENALTIES FOR NOT PARTICIPATING IN POLITICS IS THAT YOU ARE GOVERNED BY YOUR INFERIORS...[PLATO]
Hizo document zipo nyingi tu zinazagaa, ila ni vigumu kupata aina zote za viwango vya msishahara kwa ngazi mbalimbali, labda uwe spesific unataka kwa fani gani na daraja gani, usually ni dokumenti kubwa, kuna skeli za mashirika ya umma i.e TRA, BANDARI, POSTA, UDSM n.k, kila shirika lina viwango tofauti na idara za serikali kuna fani zenye skeli tofauti mfano afya ni TPGSH, fani ya walimu wana skeli zao n.k
"Speed in a wrong direction is irrelevant" - M.Ghandi
Umetumwa mkuu???.
always use low profile........ajikwezae atashushwa.
nyie musiweke hizo photocopy za serikali. ila tajeni basi angalau ivyo viwango na mishahara yake. japo siyo yote. kubwa yao , katikati na ndogo yao.
you wil be helpful
Praise the LORD, O my soul; and all that is within me, bless His holy name!
muone katibu mkuu kiongozi atakupa miongozo yote siyo ishu kabisa ila humu utadanganywa
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
Napendekeza wafanyakazi wa serikali waondokane na matumizi ya hili neno "watumishi wa umma;" hawawezi wakawa watumishi wa umma wakati umma yenyewe inafichwa kiasi cha fedha kinacholipwa kwa niaba yake kwa watumishi hao. Kitendo hicho cha kufanya hiyo mishahara yao kuwa siri kubwa, ni ushahidi tosha ya kuwa viwango vya mishahara hiyo vinapangwa kifisadi fisadi
viwango vya mishahara hutegemea taaluma uliyonayo
Acheni kuchakachua topic.....either taja kiwango kama unakifahamu, na kama hufahamu kaa kimya. Hakuna aliyekuomba documents hapa. Na hatuna haja ya kujua kama imeandikwa CONFIDENCIAL kwa herufi kubwa au la.
I tawt I taw a puddy tat....i did i did
kima cha chini ni alfu 80 na kima cha juu huwa hakitajwi na hutaweza kusikia popote pale na ukifumwa unaropoka utatamani uihame nchi, ila vima vya kati vinaanzia alfu 81 mpaka milioni 5
Follow Us Here