JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. tzjamani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th October 2010
   Posts : 999
   Rep Power : 776
   Likes Received
   26
   Likes Given
   96

   Default Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   Wizara kwa kushirikiana na BMAF, inatangaza nafasi za kazi kwa wataalam wa afya 230, wa kada zifuatazo:

   Taaluma Nafasi wazi
   i. Daktari ( Medical Officer) 14
   ii. Mfamasia ( Pharmacist) 5
   iii. Katibu wa Afya ( Health Secretary) 3
   iv. Mteknolojia - Dawa (Pharmaceutical technician) 4
   v. Mteknolojia – Maabara ( Laboratory Technician) 12
   vi. Daktari Msaidizi ( Assistant Medical Officer) 8
   vii. Afisa Muuguzi Msaidizi ( Assistant Nursing Officer) 25
   viii. Tabibu ( Clinical Officer) 98
   ix. Muuguzi (Nurse) 56
   x. Tabibu Msaidizi ( Clinical Assistant) 5
   Jumla 230

   Welcome to the BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIV/AIDS FOUNDATION
   The more anger towards the past you carry in your heart, the less capable you are of loving in the present- Barbara De Angelis


  2. Mr. Masasi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 12th May 2011
   Posts : 53
   Rep Power : 548
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   Haya wenye sifa zao sasa...

  3. samora10's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2010
   Location : Kwa-Gude
   Posts : 5,322
   Rep Power : 73230837
   Likes Received
   1586
   Likes Given
   2500

   Default Re: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   location wapi?
   ''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda

  4. Lekanjobe Kubinika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2006
   Location : Tanzania
   Posts : 3,064
   Rep Power : 8932
   Likes Received
   511
   Likes Given
   856

   Default Re: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   Asante sana
   "Uwe na Bidii kama vile utaishi milele, uwe mwaminifu kama vile utakufa kesho" (Indira Gandhi)

  5. Mbogo Ng'wisabi's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 30th May 2011
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   Naitwa Mbogo Ng'wisabila jinsia ya kiume, taaluma yangu ni Afisa tabibu (clinical officer), sijaajiriwa hivyo basi natafuta ajira.


  6. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   bmaf ndio nani?
   ....Time is the wisest counselor !!!

  7. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,128
   Rep Power : 429502268
   Likes Received
   20916
   Likes Given
   10494

   Default

   benjamin mkapa aids foundation

   Quote By MTM View Post
   bmaf ndio nani?

  8. mchaih's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 3rd June 2011
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

   bmaf kazi yao nzuri sana, je lakini wamejipanga?
   hawajasema faida zingine kama zipo. kama yeyote azijuwa azianike tuone kama kuna green pastures.


  Similar Topics

  1. Msaada wa ushauri/ sheria/ taratibu za kazi kuhusu kuombwa kutumika kusajili kituo cha afya.
   By CHE GUEVARA-II in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 30th October 2011, 08:51
  2. Kazi - waalimu 137 wa vyuo vya Afya
   By tzjamani in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 4
   Last Post: 30th May 2011, 17:12
  3. Wizara ya afya imeshindwa kazi yake...?
   By kipindupindu in forum JF Doctor
   Replies: 7
   Last Post: 25th March 2011, 07:55
  4. Nafasi za kazi kada ya afya..Daily news 7/10/2010
   By Mfikiri in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 1
   Last Post: 9th October 2010, 19:03

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...