Habari wana jf, naomba kufahamu wanapotangaza mshahara ni tgs 8 huwa unakuwa ni kiasi gani. Ningependa kujua kiasi ili niweze kucompare na kiasi ninachokipata kwa sasa ....wasiwasi wangu isije ikawa ni ndogo compared to what am getting.
Asanteni
Habari wana jf, naomba kufahamu wanapotangaza mshahara ni tgs 8 huwa unakuwa ni kiasi gani. Ningependa kujua kiasi ili niweze kucompare na kiasi ninachokipata kwa sasa ....wasiwasi wangu isije ikawa ni ndogo compared to what am getting.
Asanteni
Nijuavyo mimi hakuna kitu TGS 8. Scale za mishahara kwa tanzania zipo 3
1. TANZANIA GOVERNMENT OPERATIONAL SCALE - TGSO
2. TANZANIA GOVERNMENT GENERAL SCALE - TGS
3. TANZANIA TEACHERS SCALE - TGTS
Scale zote zinatumia alpahabet siyo tarakimu na zinaanza na A na kuendelea. Baada ya alphabeti ndo hufuata tarakimu ambazo huonesha increment kwa kila scale. Mfano Mtumishi anayeajiriwa mwenye degree ya miaka 3 huanza na TGS D.1. Ataendelea kuongezwa mfano TGS D.2, TGS D.3,.......na akifika TGS D.12 anagota na inabidi ahamie TGS E.
Hope nimekuridhisha kidogo
Maelezo yako ni sahihi katika ufafanuzi lakini si kweli kwamba scale za Mishahara TZ ni tatu tu, kuna kada ya afya TGHOS na TGHS, kuna kada ya Mahakama wao wanatumia TJS with numbers yaan TJS1, TJS2, N.K na icrements zinasoma with decimals like TJS1.1, TJS 1.2 N.K. Pia kuna kada ya watumishi wa ofisi ya mwanasheria Mkuu ambao wanatumia AGCS with numbers na zinaanzia 4 i.e AGCS4.
Kwa kufuata maelezo ya aliyeanzisha thread, ni kweli alichoandika hakipo ila yawezekana alimaanisha TJS8, kama hvyo ndivyo basi mshahara wake ni 3,340,000 FIXED.
Hakuna TGS 8 zimeshapitwa wakati,hiyo itakuwa labda ni TGS E
Basi naomba mtu mwenye list ya hizi grade na code za mishahara pamoja na tsh. zake atuwekee ili tufaidike.
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
aiseeeeeee mambo ya serikali nina allergy nayo.. but thanks kwa shule
''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda
“Mwaka jana tulikutana na ‘single’ yaani waliandika mashairi kwa uchache, lakini mwaka huu tumepata albamu nzima…” :- Dk Ndalichako
tafadhanili wadau kwa yeyote mwenye hiyo list atuwekee jamvini nasi tupate kuelewa kwa undani zaidi
Asante wana JF kwa elimu tunaomba aliye na codes atutumie ama kama kuna anayejua the following code...PMGSS 9. Natanguliza shukrani
Jamani hizo government salary ranks nazitafuta sana ,can some1 help.
![]()
..Love Every Person..in other hand
Hate Davil Inside them.
Ivi kweli scale za tz ni siri kiasi hichi, mpaka leo hatuna majibu??
,,,,,,,,Jisachi
mbona hamtoi figures jamani, hata mimi nahitaji kujua wakuu..tusaidieni mnaojua.
mawakili wa gov.wanalipwa kiasi gani?na wa makampuni binafsi
ina maana tgsd na tgtsd ni tofauti? niambie viwango vyao. plz
Follow Us Here