Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
  • Sticky
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje... ============== July 2014...
115 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Salaam! Ni muda sasa humu Jukwaani kumekuwa na mabandiko ya watu mbalimbali wakiomba kazi, zile za ujuzi mahususi na zile za jumla. Baadhi ya wanaoandika wamekuwa wakitaja sifa zao, wengine...
86 Reactions
208 Replies
146K Views
  • Sticky
Wewe ni mfanyakazi wa Serikali, Kada ya Kilimo (Afisa Mifugo, Afisa Kilimo, Bwana Nyuki n.k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Kutokana na wengi kuweka maombi ya watu wa...
3 Reactions
144 Replies
94K Views
  • Sticky
Habari zenu wana-JF? Naomba msaada wa jinsi ya kuandaa CV yangu.. Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho Computer science, nataka kuandaa CV yangu vizuri. Shukrani! Namna ya kuandika CV...
40 Reactions
296 Replies
250K Views
Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
3 Reactions
363 Replies
28K Views
Mimi ni kijana wa miaka 28 Graduate wa Mzumbe Level ya Degree katika Chuo Kikuu Mzumbe Coures: Information Communication Technology with Business ( ICT-B). Nimefanya kazi hii ya Graphics Designing...
1 Reactions
9 Replies
178 Views
Habari Wana JF Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natoa huduma ya kuangalia nyumba au watoto endapo muhusika amepata udhuru au kwa sababu zingine...
1 Reactions
3 Replies
103 Views
Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya...
1 Reactions
1 Replies
121 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
49K Replies
3M Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
6 Reactions
219 Replies
24K Views
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu...
75 Reactions
900 Replies
66K Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
21 Reactions
15K Replies
988K Views
Habari, Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii. Ninauzoefu niliwahi...
1 Reactions
0 Replies
26 Views
Habarini wana jamvi. Hebu tujuzane nimepikea reply hii kutoka sehemu ikinijitaji kiasi hiki cha pesa. Je sijapigwa bado?
2 Reactions
25 Replies
594 Views
Samahani mimi ni operator wa wheel loader na excavator , nimeangaika sana na excavator nkakosa connection nkaamua niingie kwenye loader nmepata ujuzi na npo vzuli kwajili ya kazi ila excavator...
1 Reactions
13 Replies
219 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, mbunifu, mwaminifu na mchapakazi Nimesomea maswala ya manunuzi na ugavi ngazi ya shahada katika chuo cha uhasibu Tanzania TIA na nimesajiliwa na bodi PSPTB...
4 Reactions
7 Replies
216 Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
85 Reactions
2K Replies
484K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu. Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni...
1 Reactions
4 Replies
99 Views
Wakuu kuna nafasi ya kazi ninataka kuiomba ila moja ya document wanazotaka ni writing sample, yenye maneno maximum 1,000. Ni kazi ya research assistant, naomba kusaidiwa ufahamu. Writing sample...
1 Reactions
18 Replies
297 Views
  • Redirect
Hello wana JF, haijaisha Mpaka iishe, Nimerudi tena naomba mnisaidie kushare hii tafadhali, Natafuta kazi ya ICT SOLUTIONS / GRAPHICS DESIGNER Kazi nazofanya kwenye Eneo la GRAPHICS DESIGN ni...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu kuna nafasi za kazi . Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Vijana mlioomba kuingia TAKUKURU Majina ya kuitwa kwenye Usaili yametoka kwenye Website Sasa mkajaze Aziz Ki na Pacome kwenye Usaili
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Mie ni kijna miaka 24 ,mwenye hofu ya Mungu na mpambanajii Mie ni mwenyeji wa Kahama , nipo mwanza kuanza maisha rasmi baada ya kumaliza chuo dar es salaam na kupambana sana , nimefanya biashara...
4 Reactions
11 Replies
204 Views
Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya...
0 Reactions
11 Replies
993 Views
Back
Top Bottom