|
Tangazo la ajira BBC

17th October 2007, 08:11 AM
Tangazo la ajira BBC
Imebadilishwa na Hassan Mhelela, BBC London.
BBC inatangaza ajira ya uandishi na utangazaji jijini London.
Idhaa ya Kiswahili ya BBC inapenda kuwatangazia wasikilizaji na wasomaji wetu kuhusu ajira kadhaa katika ofisi ya Nairobi, utangazaji, uandaaji wa vipindi na uandishi.
Ajira ya utangazaji na usimamizi wa matangazo katika ofisi yetu ya Nairobi.
Bilingual Journalist, Nairobi (151167)
Ajira ya uandishi katika ofisi yetu ya London.
Unachotakiwa kufanya ni kuzuru tovuti ya ajira ya BBC kujisajili kwanza ndipo utaweza kuwasilisha maombi yako ya kazi, BBC haipokei maombi kwa njia ya posta.
Tafadhali zingatia muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi, yale yatakayochelewa hayatapokelewa.
source bbc
__________________
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
|
Mtu wa Pwani
JF Senior Expert Member
Join Date: Tue Dec 2006
Posts: 2,861
Thanks: 6
Thanked 8 Times in 7 Posts
|
|