| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 566
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Duuuuu haya wenye sifaa.....kazi kwenuu ...ila isije ikawa imeshapangiwa mtu ...wanafuata procedure tu kutangaza......ila wadau wajaribu zali hilo...
__________________
"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK" |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Wadau waombe jamani.....huwezi jua...kazi kwenu wenye sifa
__________________
"No matter how far down the wrong road you've gone,TURN BACK" |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
itakuwa ina mtu ila hapa wanatufumba macho tuuu!!!!!!!!!!!!!!! labda atoke huyo mzee
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kasi mpya aingie pale...afanye mabadiliko ya server nzee na computer waweke vitu vipya....vya kisasa.....
Ila hapo nafasi kama hiyo utakuta kuna zee linahudhulia mikutano na kwenda kwenye semina nje ya nchi hakuna jipya.
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology. |
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Una uhakika na usemacho
|
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology. |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
samahani hili tangazo limetoka kwenye Gazeti lipi na lini? maana naona deadline ni 2 weeks from first appearance, which is?
Application close date: Two weeks from the first appearance |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Tangazo limetoka kwenye Jamiiforums.com tarehe 19 June 2009.Saa 2:06 PM.
Do you have to read magazine in order to apply?
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology. |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
don't get me wrong, kwenye application you have to quote reference of their advert, na date , na siku hizi licha ya magazeti hata kwenye web site of certain organisation huwa wana post weka eg tra or tpa, na etc na sometimes mtu anatupatia taarifa baada ya kwanza hiyo taarifa kuwa imetoka kwenye other media, sasa kwenye ku-count hizo 2 weeks from the date of first appearance inkuwa shida kidogo, hivyo naweza kupitwa na deadline. na wakujilaumu nitakuwa ni mimi mwenyewe. wewe umefanya jambo zuri kututaarifu. thanks
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 02:38 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||