| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 607
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Niki Andika Barua Niweke Ref Kwamba Nimepata Tangazo Hili Wapi ? Hapa Jambo Forums Au ?
|
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Andika umepata kwenye the Gurdian,ambapo wanataweka leo au kesho kwenye magazeti.
Though sio lazima sana kuandika umetoa wapi...kwani hutumwa kwa kila mfanyakazi wanaofanya kazi uko.
__________________
The happiness you get from being able to forgive someone is beyond any apology. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Good Good Asanteni Sana Watu Wenye Ujuzi Waa Apply Wapate Mafao Maana Migodi Ni Soo Inatunyonya Sana...basi Na Watu Wetu Wapatemo Hata Kidogo
|
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Hivi hizo 8 week on 4 weeks off, maana yake nini? yaani mtu anafanya kazi miezi nane jumla na 4 likizo?
__________________
I came to this country (Tanzania) without a single penny; a beggar. True, I had not a single penny, but I was not a beggar. I came with a brain worth millions of dollars ... supported by education and exposure. |
|
#6
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Yes Mkuu..mkuu Miezi Nane Kazini Na Minne Nyumbani,ila Iko Katika Hiyo Rosta Ya Kila Wiki Nane Unakwenda Nyumbani Wiki Nne..kuona Familia Yako...kama Unaweza Na Unataka Ku Save Unaweza Kwenda Kila Baada Ya Miezi Miwili Ukiwa Na Mishahara Miwili..good Lucky
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:56 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||