Mwana JF, nipo nje ya nchi, FINLAND. Kuna jamaa yangu kaniambia gazeti la jana la mtanzania lina tangazo la ajira University of Dar es salaa. jamaa hana kopi. Jamani kama kuna mtu anakopi au amesoma, naomba unitaarifu hata kwa kupitia PM au hapa. kama ikiwezekana scan page hasa inayozungumzia idala ya hisabati
Christmass is a season of good warmth and cheer and I hope it feels your home with happiness and hope this year.
May You receive much joy and two special Christmass gifts.
One,Love to make your heart glow and two,to give your soul a lift.
I'll pray that God's blessings are with you across every mile.
May you find much happiness and many reasons to smile.
Merry Christmass.
Naomba madini ya business plan software mzee, kuna business nataka kuianzisha lakini inabidi nijipange vizuri..if you have one or two or anyone you recommend nita appreciate fully.
Nilikuwa napita tu hapa kwenye profile yako,si ndo nikagundua kwamba unabandiko 2k,ongera sana mkuu.Siku zote umekuwa ni kuburudisho cha jf kwa mashairi yako na mawazo yako ya upande mwingine wa shilingi.