Showing Visitor Messages 1 to 4 of 4
-
25th December 2009 10:01 PM
Ogah
Wandugu wote Nawatakia Sikukuu njema na Mwaka Mpya 2010 mwema.......yale tuliyoshindwa kutekeleza 2009, yaliyotufika yasituvunje Moyo....iwe ni changamoto kwetu kwa mafanikio kw amwaka mpya na malengo mapya.......
Rafiki yenu Ogah
-
Shikamoo...

-
31st December 2008 03:11 AM
Ogah
Nashukuru sana Ndg yangu, nami nakutakia mwaka mpya 2009 mwema ili malengo yako yatimie....Insha-allah
-
Nakutakia Sikukuu Njema Mkuu..
Uwe wa amani tele.
SteveD.