Conversation Between Mzee Mwanakijiji and Madela Wa- Madilu
Showing Visitor Messages 1 to 1 of 1
-
Inausi kweli msee mwensanku.
Inachefua kabisa.
Ensi setu sa TANU uchavu kama huu yilikuwa malufuku kabisa.
Sasa leo yale ya matapisi ya kunuka ya Mkoloni sisi tumefanya sahabu ya kujionea ufahali.
Mkoloni alijenga kwa kwa fesa aliyokwiba hap tanganika mpka leo miji yake inang'ara kweli.
Sasa hawa wasee wensanku wanajengea fiunoni mwa vakina mama na fibindi vidogo.
Niaibu na uchuro
na Hii si haki hata kidogo.
Ninajiulisa sana msee mnsio sipatagi jibu kaa!
Mwiso wa vyote hifi ni nini!?!?