Recent content by mfianchi

  1. mfianchi

    Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Nimemuona Mpoto nae kama kawaida yake akitoa salamu,akadai pamoja na kuwa yeye huwa anakuwa kwenye shughuli za watu mashuhuri sana leo yupo hapo kusherehekea, nimemuona kanyoa nyusi, sijui imekuwaje mwanaume kunyoa nyusi!
  2. mfianchi

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Kaanzia kwa Captain, hata mimi nimemshtukia!
  3. mfianchi

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Halafu wanakuwa wazee wa kanisa baada ya kutajirika kimafia.
  4. mfianchi

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Huyu aliwahi kumwambia rafiki yangu mlokole mjanja ambaye ana nyumba za kupangisha 15 maeneo mbalimbali ya jiji ya Dar Es Salaam, kuwa ha yaani nyumba 15 nawe unasema una nyumba hapa jijini, yaani unatakiwa angalau una nyumba kuanzia 30 na kuendelea bwashee, maneno hayo anamwambia hapo kanisani...
  5. mfianchi

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Kweli kabisa siku hizi hela ipo Instagram, ndio maana tunawaona machawa kama akina Mwijaku,Doto Magari ,Haji Domo, Konde na wajinga wajinga wengi wakiwa mamilionea kwa kuwa wajinga na wengine kwa kuonyesha misambwanda huko Instagram.
  6. mfianchi

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Huyu mleta uzi kashindwa tu kueleza kule Kenya mkuu wa majeshi huwa anateuliwa kwa kuzunguka kutoka kwenye majeshi makuu matatu lakini yote ya ulinzi ,kuna jeshi la wanamaji, kuna jeshi la nchi kavu na kuna jeshi la anga,sasa kwa utaratibu wao kila jeshi hupewa zamu ya kutoa kamanda mkuu wa...
  7. mfianchi

    Kwa hii Video, Abiria wa Kimara wana Midomo michafu sana Madereva naanza kuwatetea

    Ndio maana niliondoka jiji la Chalamila hapo wote ni wahuni si hao wazee wala vijana wanaoshangilia upumbavu, mtu ukifika kuitwa mzee inabidi urudi kwenu kijijini kusikia matusi ukiwa na wajukuu ni laana, wazee wa jiji wengi wanakosa staha, ndio hao utawasikia wazuri hawafi,tunalamba asali.
  8. mfianchi

    Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Badala tu ya kukanusha na kusema mtalii ni mjinga nadhani ingekuwa jambo zuri ungetupatia majibu ya yale aliyoyasema, kwa mfano ungetuambia si kweli kwamba intaneti TZ ni sawa na mwendo wa konokono na huku vifurushi vikiwa bei juu,je si kweli kwamba lugha ya mawasiliano na wenzetu wa nje sisi ni...
  9. mfianchi

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Huku bado unakatika siku hizi unakatwa usiku, kila baada ya saa unakatwa na kuwashwa.
  10. mfianchi

    Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

    Ubunge ndio umemtoa Sugu, bila ya ubunge angekuwa lofa tu, pamoja na kubeba box huko Marekani alirudi lofa tu si ajabu amefanya siasa ajira.
  11. mfianchi

    Serikali yakiri kuwa zaidi ya 80% ya watalii wanaotembelea Tanzania huwa hawarudi tena

    Mawakala wa utalii kule Zanzibar wanatuhujumu Watanganyika, ratiba ya watalii wakifika Zanzibar huwaweka na kutembelea mbuga za bara, lakini hufanya watalii wasilale bara kwani ndege ambazo huleta watalii huku bara huwa zinaleta watalii asubuhi na kurudi nao jioni, huu upuzi unakosesha mapato...
  12. mfianchi

    Bunge siyo sehemu ya kumwagiana sifa wala uwanja wa kampeni, mnatia aibu!

    Sijawahi kusikia bunge la Kenya lilisema tunamshukuru Mheshimiwa Ruto kwa kutupa pesa ya kujenga shule, au Ruto akitajwa kwa jina lake pale mambo ya maendeleo yanapozungumzwa kwenye vikao na halaiki mbalimbali za maendeleo kutoka kwa wabunge au maseneta au wakuu wa majimbo na hata madiwani, huu...
  13. mfianchi

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Kawawa alienda kwa Mwalimu JK kumuombea marehemu Maamvi akaishiwa kuambiwa Kawawa usiwe mjinga.
  14. mfianchi

    Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

    Muongo mkubwa ma DC wote wana mashangingi na kuna ubaya gani akiazima kwa mkurugenzi ama hayo magari yapo tofauti?
Back
Top Bottom