Natumaini holiday inakwenda fresh kwa upande wako pia. Hayo mambo ya kimbunga cha recession ni yakupita tu (I hope). Cha muhimu tukaze makanda ili tusidondoke, ili hiki kimbunga kikipita tuendelee kupiga hatua kusonga mbele.
Niseme nini, Capo wangu? Asante kwa kunikumbuka! Nami nakutakia wewe na uwapendao Kwanzaa njema! Nakukumbusha tu kuwa leo tunatafakari nguzo ya Umoja. Umoja baina ya marafiki, jamii na binadamu wote!
Mungu azidi kukujaalia katika siku zilizobaki mwaka huu na miaka mingine iliyokuwa mbele yako.
Ni heshima kwangu kukuhesabu miongoni mwa rafiki zangu.
I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.
``Kwamba tumesamehewa madeni haimaanishi kuwa Rais wetu aanze kutumia usafiri wa punda.´´ Waziri wa Fedha Basil Mramba akitetea ununuzi wa ndege ya Rais.