Go Back   JamiiForums.com > Members List

Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!Invisible is one of most respected JF members!

Invisible Invisible is offline

Robot

Visitor Messages

Showing Visitor Messages 1 to 10 of 165
  1. Invisible
    Today 04:58 PM - permalink
    Invisible
    Ahsante Bowbow,

    Well,

    Suala la miziki nimeshatumiwa taarifa na wengi na tunarekebisha. Zinaongezwa nyimbo zaidi na errors zinarekebishwa.

    Access umepata, na ahsante kwa kutukubali!
  2. Bowbow
    Today 03:41 PM - permalink
    Bowbow
    Hello Mkuu,
    Kwanza niwatakieni wewe na crew nzima ya JF heri ya mwaka mpya. Pili napata shida kusikiliza music yote ya JF nadhani kuna tatizo(bongo flava, zilipendwa, taarabu na hata injili), naamini mtalishulghulikia.

    Ni muda sijatembelea jukwaa la dini nadhani sasa kutakuwa na displine huko so naomba access.

    Nne nawashukuru JF na utawala wote kwa kutuhabarisha, kutuburudisha, kutupa changamoto na kutuelimisha kwa kila namna at zero cost. Mungu awabariki wazidishie na kuwalinda na kila lililobaya. Wish you all the best.
  3. Invisible
    Today 12:20 PM - permalink
    Invisible
    Mag3,
    Tayari mkuu

    Congo,
    Umesikika, tunarekebisha mkulu
  4. Congo
    Today 11:28 AM - permalink
    Congo
    Nina tatizo dogo wakati wa kusoma posts kwenye JF kwa hivi sasa. Maandishi yameenda mno upande wa kulia kiasi kwamba wakati wote wa kusoma post lazima uwe unasogeza screen kushoto na kulia kwa kutumia control bar iliyoko chini kwenye screen. Tatizo hili halikuwepo kabla. Naomba urekebishe screen settings ili wakati wa kusoma itumike control bar ya kulia ya kupeleka maandishi juu na chini tu. Asante.
  5. Mag3
    Today 10:08 AM - permalink
    Mag3
    Invisible,
    Can I access Jukwaa la dini ? Cheers, mag3
  6. Invisible
    29th December 2008 04:35 PM - permalink
    Invisible
    Kigeugeu,

    Hutanigeuka kuwa hujaomba access hiyo? Access granted!
  7. Kigeugeu
    29th December 2008 04:23 PM - permalink
    Kigeugeu
    Naomba Acess kwa mambo ya kikubwa
  8. Invisible
    25th December 2008 08:04 AM - permalink
    Invisible
    Asante mkuu SteveD,

    Basi mimi hiyo Sikukuu huwa naiona? Iko siku lakini... LoL :-D
  9. SteveD
    25th December 2008 03:33 AM - permalink
    SteveD
    Sikukuu njema Robot! Kunywa oil na umeme kwa sana ili uzidi kuchapa kazi mwakani.... lol
  10. Invisible
    24th December 2008 10:42 AM - permalink
    Invisible
    Bubu Ataka Kusema na wakuu wengineo ambao huwa mnapitia ukurasa huu (ambao wasiojisajili hudhani ndo wanaona mawasiliano yote ya JF) nawashukuru kwa salaam zenu za Sikukuu hizi. Aidha nawashukuru sana kwa ushirikiano mliotupa kwa mwaka 2008 na kuwa nasi katika dhahma za hapa na pale na kuonesha ushirikiano wa karibu katika nyanja mbalimbali.

    Furaha yangu daima ni kujua kila mwana JF yu mzima na anaendelea vema na harakati zake za maisha na anafanikiwa katika kila afanyalo.

    Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema akupe faraja wewe na familia yako pamoja na wote wanaokutegemea (taifa ndani yake) ili kila utakalolifanya kwa mwaka 2009 liwe na baraka zake Mwenyezi Mungu na likusaidie wewe kufikia malengo uliyojiwekea pamoja na jamii inayokuzunguka.

    Invisible

About Me

  • About Invisible
    Biography
    I am just a robot! Don't waste your time buddy!
    Location
    Africa, Europe, America & Asia
    Interests
    Singing
    Occupation
    Spammers Fighter
  • Signature
  • Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako!

    Thank you for supporting JF! (click if you wanna support us)

    Statistics

    Total Posts
    Albums
    Visitor Messages
    General Information
    • Join Date: 11th January 2004
    • Referrals: 23

    Friends

    Showing Friends 1 to 10 of 32

    Contact Info

    Instant Messaging
    Send an Instant Message to Invisible Using...
    Home Page
    http://www.JamiiForums.com
    This Page
    http://www.jamiiforums.com/members/invisible.html

    All times are GMT +3. The time now is 06:12 PM.



    Copyright JamiiForums.com