Recent content by crabat

  1. crabat

    Kwanini CCM haijawahi kuwatumia waimba Quaswida kwenye shughuli zake, lakini huwatumia waimba Gospel?

    ccm ni chama cha wakristo , Catholic Christian movement
  2. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mvua ? Una uhakika ? Mvua inaweza kuzuia kutandaza tracks au njia yake lakini haizuii kumalizia stations husika. Au kuna tatizo jengine ? Sent from my iPad using JamiiForums
  3. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Huwezi kuhimili debate ? Sent from my iPad using JamiiForums
  4. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nora kujenga shule nyingi na kusomesha walimu zaidi ili tuondoe ujinga kwanza. Sent from my iPad using JamiiForums
  5. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Sasa hicho cha juu ni kituo cha Train au police station ? Yaani mmefuja kila kitu ...tamaa ya kuwa na Rail classic with international amenities imepotea. Mnatujengea vituo bya polisi Sent from my iPad using JamiiForums
  6. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Tuki mbie kitu ganiwakati matakimbia nyinyi? SGR Tanzania iko Miezi 8 nyuma sasa. Stations zinapunguzwa Ukubwa na style kupunguza gharama. Tunakimbizana almradi tumalize 3 yrs sasa kwa 176 Kms 1.5 yrs kwa 600 kms ya Nairobi Kwenye ujenzi ukichelewa kumaliza kwa wakati maana yake gharama...
  7. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Mtabaki kupiga picha Gizani kama wanga ....sasa hio over pass inahusu nini na SGR ? Tushavurugwa tusubiri maumivi tu... Sent from my iPad using JamiiForums
  8. crabat

    Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.

    Wengine wezi. Gari ninalotumia lina pima kioa mafuta unayoseka ni lita ngapi zinaingia....Puma ni wezi. Total ni afadhali Ewura wakague hizi pumps kuna wizi mkubwa sana unafanyika Sent from my iPad using JamiiForums
  9. crabat

    Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya Total, " They are The Best?. If Yes, How Wakati Tunanunua Bulk?.

    Pascal Mayalla Kutokana na Uzoefu wangu TOTAL angalau wafanyakazi wao waaminifu. Hakuna wizi kwenye Pump zao. EWURA Nao sasa hawakagui tena wame wekwa sawa . Kuna wakati nilimwambia usoni mmiliki wa Puma ya Uhutu heights...sheikh kanzu kubwa lakini unapunja watu kwenye niashara ? Hakika hio ni...
  10. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kichuguu vs Mlima Sent from my iPad using JamiiForums
  11. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ndio lakini hakuna sgr bandarini Sent from my iPad using JamiiForums
  12. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hizo ni njozi za kujifurahisha tu ukweli utabaki SGR Rail haikuwemo kwenda Port. Mnazungumzia kipande utafikiri kipande cha embe. Unachora mstari utafikiri ni rahisi hivo Tume kurupuka sasa mbatafuta vipande. Mradiwa reli hii ya kisasa wazo ilikua Kutoka Bandari ya Tanga ndio iende Mwanza...
  13. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Na kwa vile mradi uko nyuma sana kuliko ratiba yake. Ni vema sasa mradi uka simamishwa na fedha zikaelekezaa kupambana na Corona. Sent from my iPad using JamiiForums
  14. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Lengo la awali kitaifa ni hilo. Sasa lengo kupakia abiria Sent from my iPad using JamiiForums
  15. crabat

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kupitisha reli chini hakuzuii kupitisha daraja juu. SGR imepita sehemu nyingi ambako kuna barabra. Mshalikoroga sasa panga pangua. Tatizo ya kutoshaurika wala kuambilika. Hakuna lolote la pamoja . Sasa tutabaki flyover sijui mara hio ni daraja lenyewe ndio la SGR. Hebu mkubali tumeingizaa choo...
Back
Top Bottom