JamiiForums |The Home of Great Thinkers - Conversation Between Bubu Ataka Kusema and Sabode

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Bubu Ataka Kusema


Conversation Between Bubu Ataka Kusema and Sabode
Showing Visitor Messages 1 to 3 of 3
  1. Sabode
    15th March 2009 09:54 AM
    Sabode
    Heshima mbele mzee
    Hilo ni hakika, na hii vita idumu daima maana watu walikuwa naitafuna inchi hii kama vile hatupo au kama tupo ila tumeridhiiiika. Sasa tumeamua kupambana na huu ni uwanja wa vita bila kumwaga damu ya mtu yeyote. Ila mioyo ya wanyonge lazima ipate mshika kalamu au hata anayetumia muda wake kwa ajli yao, basi mzee tuko pamoja mpaka kieleweke.
  2. Bubu Ataka Kusema
    14th March 2009 06:51 PM
    Bubu Ataka Kusema
    Sabode, ahsante kwa ujumbe wako na samahani kwa kukuchelewa kukujibu. Inabidi kuipigania nchi yetu na tunaweza kufanya hivyo bila kubeba silaha na kuingia msituni. Mafisadi walikuwa wameitaka nyara nchi yetu na kufanya mambo wazi wazi bila woga wala aibu na kukupua mabilioni ya pesa na huku Watanzania wengi wakiendelea kuishi maisha yenye ufukara wa hali ya juu. Dalili zinaonyesha kwamba tunaichukua nchi yetu toka mikononi mwa mafisadi na vita hivi vinahitaji juhudi kubwa toka kwa Watanzania wote. Naamini tukishikamana bila kujali tofauti zetu za kiitikadi tutashinda vita dhidi ya mafisadi ndani ya chama na serikali na hatimaye kuanza kuona maendeleo ya kweli kwa Watanzania walio wengi.

    Weekend njema.
  3. Sabode
    13th March 2009 09:09 AM
    Sabode
    Heshima mbele Bubu.
    Anyway kimsingi nachoweza kusema wazee mko ka tochi ndani ya msitu mnene wenye kiza totoro. Yaloo kuwa mwiko kuanikwa mnayaanika. Keep it up tupeni ukweli mtupu hapa JF sihami kwa kuwa tu mpo.

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 01:44 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com