Conversation Between Bubu Ataka Kusema and Kisura
Showing Visitor Messages 1 to 2 of 2
-
2nd January 2009 08:22 PM
Kisura
Asante sana kwa kuelewa BubuAtakaKusema. Mambo mengi sana mwisho wa mwaka. Once again, Heri ya Mwaka Mpya.
-
2nd January 2009 05:48 PM
Kisura
Bubu,
Asante kwa salamu za Krismas na Mwaka Mpya, samahani sikuwepo kujibu kwa muda muafaka. Pokea salamu zangu basi, natumaini sijachelewa. Nakutakia Amani, Afya njema na Upendo.
Best Regards.
Kisura