Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.
Ufaulu wapungua.
Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo zetu.
Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.
Ufaulu wapungua.
Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo zetu.
Last edited by Invisible; 6th February 2010 at 19:55. Reason: Link included
"Smile though your heart is aching"...Me says
Baada ya muda mfupi tembealea hapa!
MATOKEO YA KIDATO CHA 4, 2009
CSEE
QT
Last edited by Asked for a BAN; 6th February 2010 at 17:26.
mwenye fununu na top 10 aturushie wadau
sasa hawa nao bana yaani wanatangaza halafu kwenye website hawajaweka...what a shame??TZ nakulilia nchi yangu.yaani tunaongoza ofisi za serikali kama tuko kilabuni kwenye komoni
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
Wamewaweka vijana wetu roho juu. wametembelea internet cafe mpaka miguu inawauma kwenye mtandao hakuna kitu. Bora watuambie wakiwa tayari kuliko walivyofanya
A Quick Temper Will Make a Fool of You Soon Enough. '' BRUCE LEE''
MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahin iwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!
MATOKEO PIA YANAPATIKANA KWA KUTUMA SMS YENYE FORMAT: matokeoXnambaKituoXnambaMtahin iwa MFANO: matokeoXs0101X9999 KWENDA 15311 HII NI KWA WATEJA WA VODACOM PEKEE. UTATOZWA TZS 400 TU!
***
Baada ya muda mfupi tembealea hapa!
MATOKEO YA KIDATO CHA 4, 2009
CSEE
QT
shenzi wanatia viwewe wadogo zetu
kwanini wanachelewa kuyaachia
wanatangaza kwenye net bado!!!
Kufunguka ndo kazi ngumu kwa sasa.
"Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau
Duuuu ni mabaya kweli
http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
Tafuta huko yako pia matokeo ni kwenye website ya wizara.
"Smile though your heart is aching"...Me says
Nimeona baadhi ya matokeo..du!!
Bésame Mucho...!!!
Follow Us Here