Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.
Ufaulu wapungua.
Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo zetu.
Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.
Ufaulu wapungua.
Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo zetu.
Last edited by Invisible; 6th February 2010 at 19:55. Reason: Link included
"Smile though your heart is aching"...Me says
Nafikiri inategemea speed ya provider wako na machine unayotumia...mbona zinafunguka kwa wengine?
Wakuu mmeona jinsi kina dogo walivyopigika somo la Kiswahili? Mara nyingi watu wanalalamikia Maths but so far nimeona A moja tu ya Kiswahili ya yule binti wa Marian Girls mwenye point 7! Shule nyingi wamevurunda sana Kiswahili...ni tatizo!
Shule za wenye majina yao nazo ni balaa! Sijui ziwekewe St! Hebu check Nicdemus Banduka, J.M Makweta, Ole Njoolay, Isdore Shirima, Lowassa, J.M. Kikwete, Jakaya Kikwete, Pius Msekwa na zinazofanana na hizo!
DODOMA Secondary School:
http://www.jamiiforums.com/csee2009/s0306.htm
Nani mwingine anataka matokeo?
S0262 AMANI GIRLS
Nimeyaweka hapa:
http://www.jamiiforums.com/csee2009/s0262.htm
Mwingine anayetaka matokeo?
Jitegemee Secondary School Nimeyaweka hapa:
http://www.jamiiforums.com/csee2009/s0496.htm
Mwingine mwenye kuhitaji matokeo pls?
invisible naomba uniwekee nzunzuri sec school
S3674 ST. JOSEPH MILLENIUM Sec School
Yapo hapa:
http://www.jamiiforums.com/csee2009/s3674.htm
Mwingine anayehitaji matokeo tafadhali?
Makongolosi Sec School
Nimeweka hapa: http://www.jamiiforums.com/csee2009/s1798.htm
More requests pls?
S0781 ARUSHA DAY Sec School
Nimeweka hapa: http://www.jamiiforums.com/csee2009/s0781.htm
More requests pls?
Aliye juu mfuate hukohuko juu.
Aliye juu mfuate hukohuko juu.
Follow Us Here