Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
============
MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA -> NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012
Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
============
MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA -> NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012
Matokeo bado sana
badae kidogo yanatoka
asante kwa taarifa, jee unaweza kusema chochote juu ya ubora wa matokeo hayo !!
Nilisikia kuwa muhula wa kuingia form 5 unabadilika hivyo kuchelewesha matokeo,haya ngoja tusubiri tuone.
You can never have someone praise you,nor will anyone condemn you,never in the past,not at present and never will be in the future.
nimesikia yanatoka jumatatu<<<< tarehe 28/01/2013 kwa kuwapa nafasi re seaters
Nasikia mwezi wa Saba..
...daa! Kweli muda wa "kulisit" ni mdogo.
...Mbwa wa Mfalme ni Mfalme wa Mbwa Wenzake...
Mulugo bado anafanya upembuz yakinifu
as i knw ni tarehe 16 next month
ni tar 28 jan mwez 1kabla ya muda wakujiandikisha bila adhabu kwisha
Jamani cku zinaisha na hata tetesi za matokeo hakuna sasa tutajuaje?
Asanteni sana wana jf
kwa hiyo watakao faulu kwenda kidato cha tano 2013 watachelewa kuanza masomo
matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatoka lini?
Nyie madogo presha za nini bado mapema tokeo linatoka mwezi wa 5 mtaobahatika advance mtakuja mwezi wa 7, so tulizeni wenge
Follow Us Here