Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
============
MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA -> NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012
Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
============
MATOKEO RASMI YANAPATIKANA HAPA -> NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012
mpaka muda huu bado Tuu!!
aaargh
Wana jf kama habari si ya kweli msiposti mtatuumbua wenzenu tushauza habari...
Wadau hv ile page ya Facebook ni ya NECTA kweli? Maana watu siku hzi ni waongo sana.
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
Acheni stori za kidini necta hawaangalii dini wala sura ulichopanda mdicho utachovuna.
kwa mujibu wa wazir wa elimu kawambwa matokeo tayar anasema saa 1 jion ya leo atayatangaza kwa wale wa presha punguza sana wavulana waongoza kufaulu kama ulicheza viduku shule utajua mwenyewe matokeo mema
Watahiniwa Kaeni mkao wa kula sasa hivi necta wanayarusha mtandaoni
watu presha juu juu
2013 bado hata mtihan hawajafanya' typin errOr
Follow Us Here