Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
Me ni mmoja wa wahitimu wa kidato cha sita 2012 mpaka sasa sinatetesi kuhusiana na matokeo ukiangalia hapa sina ajira na maisha n magumu kwa yeyote mwenye fununu naomba anijulishe lini yatakuwa out?
usiogope bana, hata mm nayasubiria kweli, yatatoka tar 30
Ndani ya wiki hii au wiki ijayo. Vumilia tu kijana utayapata, maana naona hata website ya NECTA inazingua. I guess under construction.
Yaani mtihanni umefanya juzi tu mwezi wa pili umeshaanza kuhaha na matokeo?? Vuta subira mambo mazuri hayataki haraka....
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
Pamoja sana ndugu zangu we are still waiting
Maisha magumu ata tempo umeshindwa kuomba? Acha uvivu unadhan matokeo yakitoka yatabilisha uvivu wako
I contacted one of NECTA's IT personnel anasema instructions walizopewa ni kuwa they should release them on 26th which is thursday!! So kesho kutwa vijana mjiandae kuvuna mlivyopanda,kama ulipanda maboga usisubiri machungwa!! Kesho kutwa m-tune TBC watatangaza b4 releasing them!
Kuajiliwa ndo nini?
Una hamu ya kuiona hyo zero yako eeeh?
Matokeo yako haya HAPA
lets wait for thursday as 1 of the member said.
Follow Us Here